Ikulu yatoa marekebisho kwenye majina ya wakurugenzi wa halmashauri walioteuliwa na rais

UKAWA hoja zilisha waishia, uwezo wenu wa kufikiri umefika mwisho, yamebaki matusi, kwa matusi mko vizuri, viroba vya EL vitawatesa sana, ila shisha marufuku, viroba viangaliwe upya

Unaonesha upo tofauti,sidhani kama wewe ni binadamu wa kawaida au ni mzimu,hebu rudia kusoma ulichoandika kama hukutaishia kujidharau mwenyewe.
 
Naamini bado wengine watapata uteuzi humu ndani maana kuna makosa ambayo yatafanya nafasi ziwe wazi.

1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kasulu*
Yule jamaa aliweka picha huku anaitwa Dafi mpeni walau nafasi ya DAS
 
Haiwezekani hili likafanyika mbele ya watu wanaojua kipi wanakitenda. Yawezekana wahusika wamefanya makusudi ili kuleta kadhia kwa mamlaka ya uteuzi.
 
Yaan huyuu mtu sijui haoni vijana ambao wapo mtaani na elimu ya kutosha hawana kazi...kakomalia sana makada badala ya elimu
mkuu hao ndo wanatangaza matokeo ya ubunge na urais kwenye jimbo,sasa usipoweka makada ukabaki unaangalia elimu na waledi chama chetu kitapataje ushindi wa kishindo?awamu ni tunajenga chama kwanza,Tanzania ya viwanda acha isubiri
 
Kazi ya urais siyo rahisi kama tunavyodhani. Makosa kama haya si kitu cha ajabu sana. Tuwe na tabia ya kupuuzia vitu vidogo kama hivi.
Utakuwa kajinga sana! Unafikri kwa kutumia lile shimo la pili kwenye miguu yako! Haya mambo ya kukosa umakini ndo yanapelekea watu wanasaini mikataba wasiyoielewa!
 
jaman lazima tuwe na mawazo pevu.. hakuna mwandish anayeweza kuchapisha majina hasiyopewa na wakuu wake kisha ndo kweny public.. kufany maamuz ya msukumo flan afu bdae unashtuka ndo matokeo yake.. kama jina kama jina wanakosea itakuwa vitu nyeti??? shkamoo ikulu yetu tukufu
 
Utakuwa kajinga sana! Unafikri kwa kutumia lile shimo la pili kwenye miguu yako! Haya mambo ya kukosa umakini ndo yanapelekea watu wanasaini mikataba wasiyoielewa!

naamin kuna makosa ya kibinadamu ila sio kama hili na sio mara ya kwanza tuliona toka uteuz wa mawaziri swala la mizuka.. mwambie huyo mtoto wa lowasa
 
Kazi ya urais siyo rahisi kama tunavyodhani. Makosa kama haya si kitu cha ajabu sana. Tuwe na tabia ya kupuuzia vitu vidogo kama hivi.
unatetea uzembe kazini? enzi za kina jk uliwahi sikia drama ka hizi?
 
Back
Top Bottom