Optimistic Soul
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 204
- 22
Naomba niwe manifesto, mimi ni mchagga (baba na mama wote wanatokea huko kishumundu) nimesoma huko kaskazini hadi form six, nimeshawahi kuwa na gfs wa3 kutoka huko home ambao wote walinitosa na sababu kubwa ni kwamba sikua na uwezo wa kutosha kuwasaidia wao pamoja na ndugu zao, ukweli upo kuhusu hili swala japokua wapo wenye mapenzi ya kweli ni shauku tu ya maendeleo ndio inawafanya waonekane kuwakimbiza waume zao kikazi (get busy baba nanii unafanya nini mjini huna gari wala nyumba? sikupi hadi ununue kari yetu).
Nakubaliana na ndugu hapo juu "Penye uzia penyeza rupia" utaona mahaba ya dhati waliyonayo hawa ndugu zangu
Nakubaliana na ndugu hapo juu "Penye uzia penyeza rupia" utaona mahaba ya dhati waliyonayo hawa ndugu zangu