I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu tuseme ukweli, hao labda waoane wenyewe kwa wenyewe!! yaani mchaga kwa mchaga ila vinginevyo umekwishaaaaaaaaa
usije ukaoa hao labda kama unatoka hukohuko malezi yao ni ya hovyo sana na wanatabia ambazo haziwezi kuungwa mkono na jamii iliyo makini

Huyu GF wangu alishawahi kuniambia bora asiolewe kuliko kuolewa na mchaga mwenzie .....
......... sasa hapa sijui ndio yale mambo ya Faithful kule sielewi ........:thinking:
 
Siku hizi hamna afadhali. We oa kokote utakakooa provided umeoa msichana wa kisasa matatizo ni yale yale. Sanasana ukifuatilia sana ishu za makabila mwisho hutaoa kabisa. Mfano kuna makabila yanayojulikana kuwa ni very loving n caring, ila wana matatizo mengine makubwa! Wengine hiyo loving n caring wanai extend kwa kila mwanaume! Sasa hapo afadhali iko wapi?
Na wengine imara kwa sayansi ya kuruka kwa ungo :alien:
 
mmmh,bora umesema sorry maana ukabila unaanza humu!

Binafsi nimepata mtoto na mchaga ila siwezi kumuoa na nina sababu zangu mwenyewe.
 
mwenzio sian hamu nishawahi kukombwa hata kijiko na mtu niliyeishi naye na kuzaa watoto wawili mmoja baati mbaya
 
KWA KWELI WADADA WA KICHAGA NI NOMA..KWANZA NI WAJASIRIAMALI WA MAHUSIANO..Hasa akishaona una Mwelekeo mzuri wa Kimaisha hasa kama unakaribia kuhitimu Chuo Kikuu ANAKUBANA KWELI KWELI Hata Tigo yuko Radhi Kutoa...Atakuganda na kukutegeshea umjaze Mimba na Kwa sisi wa Bara tunavyovutiwa na RANGI NYEUPE NA UZURI basi hatuchelewi kutangaza ndoa...my Wife ni Mchaga but Kuna wakati natamani apate Ajali afe niwe huru...its a TOTAL KERO...A Total Stress
Kwa sasa nimeam ua kufanya kazi mbali na kwangu ili angalau nipate Peace of mind ili niwe napeleka Matumizi tu
Basi kama wewe si Mchaga DON'T Think of Marrying a CHAGA Girl....Acha Waoane Wenyewe
 
NEVER EVER TRY The CHAGA Girls kama wewe si MCHAGA
Ni Kero...ni Walalamishi na VERY Wajasiriamali katika Mapenzi hasa wakiona unamwelekeo mzuri wa Maisha
Wangu alinilengeshea Mimba tulipokaribia kuhitimu Chuo na Nikabanwabanwa mpaka nikao...NAJUUUUUUTA KUMUOA
 
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!

Paka Jimmy baada ya mimba unalea mtoto au? Husipotezee damu yako mkuu. Hila nasikia ni watafutaji sana je hili mnalionaje!
 
nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?

jamani mi thithemi thana,hao watani wangu hawafai mwedhenu na mmathai
 
Mimi mtakwaji ndo nakwambia, ka unabisha, bisha!!! hulazimishwi.
Kabila gani wanaweka maslahi binafsi mbele((

Sasa mnacholalamika ni nini haswa????Mmelazimishwa kuwa nao???:doh:
Ukweli ni kwamba waChagga wapo juu na ndio maana mahari haziachi kuletwa Kilimanjaro!!!:smile-big:
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
Hii ni overgeneralization
 
Miaka michache ilopita niliwah kuwa na mchaga nilijuta kumfahamu.
Lakini dunia naiona tamu baada ya kumpata mtoto wa Milima ya Upareni. Hawa wanawake kwa kweli wamejaaliwa Heshima kwa watu wengine, wanajiheshimu na wana upendo. Mambo mengine ni ya kibinaadamu tu.
 
Seriously? Hivi naanzaje kuoa mchaga au kuwa na mchumba mchaga...
 
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
Funga bakuli lako zumbukuku wewe tafuta kabila lako tangu lini kunguru akaruka na njiwa pamoja hawafanani. Tafuta kabila lako wachaga tunaona wenyewe kwa wenyewe
 
Mabinti wa kichaga bomu na hatari..wao wanachojali ni kujinufaisha wenyewe wako selfish sana. Wanakuwa na waume zao kwa sababu za manufaa yao kama kuwapeleka ng'ambo,wakunyang'anye nyumba na mali apeleke kwao etc.na ukiona wanaume wengi waliooa wanawake wa kichaga ni watumwa wa ndoa au mapenzi yao. Wengi walidanganyika na rangi za hawa wamama lakini kwa ujumla hawana malezi wala mafunzo ni bomu..Tumeona na tunaishi nao.....yes i said so!!
Zumbukuku wewe
 
Kuna watu huwa wanasema ndoa za kizungu ni ngumu sana,wanawezana wao kwa wao...sijui hii inaendana vipi na wachagga.Ngoja niwaze kidogo zaidi au mnaweza kutoa msaada
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom