tena pesa anapata kwenye mtaji wa dubwana sasa amuache akaoe warembo aone kama hajaolewa na uzuri wake .. pyuuuu halafu mwanaume anajiona mzuri kiruuu sijui wanawake wanawaokotaga wapi haya majianaume isiyo tafakari wahi
Mwanaume asiyejitambua ni shida. Halafu bila aibu anasimulia bila haya, amekuwa wa maana kisa anasimamia biashara za dubwana, mimi nilijua amepata kazi.