Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

Wadau naomba niwasalimu

Kuna huyu dada tulisoma wote high school, hatukuwahi kuwa marafiki wala hatukua na ukaribu wowote, yy alikua msongo sana, ni yy na kitabu, kitabu na yy, hata hivyo hakua mzuri kama mabinti wengine, ndio maana wengi hatukuhangaika nae

Yy aliendelea na chuo, mm nilikwama sikupata principle pass za kuweza kuchaguliwa nikaazimia nitaunga unga unga hela ikipatikana

Almost 7 yrs later tukagongana mjini, akiwa kwenye usafiri wa nguvu, in short since that day akawa resi sana, mara tutoke usiku, mara movie, akawa anajitongozesha, tukawa wapenzi, mapenzi yaliponoga tukahamia kwenye nyumba yake aliyokua anajenga, tumekaa humo kwa miaka 2 na tuna mtoto sasa wa mwaka na nusu

Sasa analazimisha tuhalalishe uhusiano wetu kwa kufunga ndoa, kwa kweli amenitoa juu ya mawe hadi somewhere, nimekua mtu wa maana, yy yupo kazini, mm nasimamia biashara za kwake ambazo sasa ni kama zimekua za kwangu,

Shida ni kuwa kwa kweli alichukua sura ya baba yake, yaani huyu mtoto wetu kama isingekua ni mm sijui angefananaje, thank god alifanana na mm kila kitu, nyumbani kwetu pamoja na kuwa nimewafanyia mengi kwa hela za huyu dada lakini kuna minong`ono mingi sana, kwamba G alimtoa wapi huyu binti, hata marafiki zangu tukikaa sehem tukiondoka nyuma ni maneno hadi nakosa raha, nakua na avoid kutoka nae

Sasa hili la kufunga ndoa ndio bomb shell, nimekua nakwepa hoja hiyo kila mara, sasa kuna huyu mdogo wangu wa kike ni wa mwisho kwetu, amem recommend rafiki yake kipenzi kwangu, nimeshakaa kunywa nao mara kibao, ampapo sister kila mara ananishauri achana na hilo dubwana umuoe rafiki yangu katulia,
Sasa wadau mlikua mnasemaje? Maana huyu rafiki wa mdogo wangu ni mzuri hasa, amejazia, kifuani kumenyooka wima sidiria haiitajiki, halaf ana adabu sana, huniamkia shikamoo kila tukikutana hata tukiwa wawili tu, ila hatujafanya chochote zaidi ya kutoka out tu

Sasa sijui mlikua mnasemaje?

The friend of mine, this is not good. Life is a choice, to me: You marry that Girl (uliyezaa naye) and you will be happy.
Wengi wameshindwa kuendelea kwa kusikiliza maoni ya watu
 
tamaa mbaya sana yan umepata unafuu wamaisha then mtoto alaf bado ulidhiki kwell ujielewi
 
Ni shida hii,Aunt yangu aliwahi kunambia binadamu hata umlambe kalio na ulimi atakuambia wamuumiza,sasa ni sawa na huyu mleta mada
sasa ni wa kuacha akapauruliwe .. na akimuacha tu hizo biashara anazosema ni sawa zimekuwa za kwake atakapo tolewa nduki halafu aone huyo mrembo kama atakubali kukanda mbwa mataako
 
Kumbe ndio akili yako.ilivyo mtu wakaa nae amekusaidia kimaisha hadi hapo ulipo umezaa naye then unamwita DUBWANA kuwa makini na akili za kuambiwa changanya na zako
 
Kama sura na umbo ndivyo unavyovitaka mbona havikukupa pesa. Unajiona wa maana kwa sababu ya pesa za huyo mwenye sura mbaya, huna hata aibu.
tena pesa anapata kwenye mtaji wa dubwana sasa amuache akaoe warembo aone kama hajaolewa na uzuri wake .. pyuuuu halafu mwanaume anajiona mzuri kiruuu sijui wanawake wanawaokotaga wapi haya majianaume isiyo tafakari wahi
 
Ukiachana na maneno ya pembeni,wewe mwenyewe ndani ya moyo wako unajisikiaje? Wewe fata furaha ya moyo wako, lakini pia tumia akili ukiachana na hisia.

Unaemuona mbaya leo kesho usijemtamani atakapokua next level.... Na kabla hujaendlea kuchelewa zaidi ni bora ukamuweka wazi dada wawatu asiendlee kudhani ana mume kumbe kivuli.
 
Hahahahaha na atanyariwa aseee,yaani atafedheheshwa mnooo
sasa ni wa kuacha akapauruliwe .. na akimuacha tu hizo biashara anazosema ni sawa zimekuwa za kwake atakapo tolewa nduki halafu aone huyo mrembo kama atakubali kukanda mbwa mataako
 
We fa.la tena mata.ko, umesaidiwa, unatumia ela za dem wako kulisha familia yeko, then unakuja kudanganywa Na dadako anayetumia ela Za dem wako, UB.oo unakusimama kwa ajili ya ela za dem wako alafu unaanza kumponda eti ana sura mbaya! Unaishi kwenye Nyumba ya dem huna hata Kibanda alafu unaleta ufa.la, ela za outing Na dadayako unapiga panga kwa dem wako! Ndio maana ulifeli shule Na unaelekea kufeli Maisha, tafakali chukua atua, kweli masikini akipata mata.ko ulia mbwata.

Huyu rafki wa dadako ana kazi gani? Wewe mwenyewe huna kazi ukimchukua huyo wa sura nzuri Na hips, mtaenda kula iyo sura Na hips?
 
Hahaha dah! Nimependa hapo unapoamkiwa sh'kamoo, kuwa ni adabu.

Even grenades need love bro. Besides, you already got a kid together, so you can't really erase her from your life.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom