Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Hapana mkuu...tunaogopa matumizi yataongezeka
Nime ya shuhudia haya na wana hawatoi hata senti nina mifano mia kidogo,hamna aliye single kwa asilimia zote ,kama wapo ni wachache sana hawa vuki asimimia 25.

Halafu hawatongozi ile serous ni mazoea na matani then unashangaa mtu kaliwa na mwendo unakuwa hivyo hivyo.

Nakupa homework kama ukiwa na muda unaweza ifanya. Nimekulia uswahilini, kule unaweza kuta nyumba moja ina wapangaji kama kumi,kama kuna bachelor kapanga hiyo nyumba, basi ana uhakika wakupata K mda wowote ule,hiyo mifano ninayo mengi. Njoo makazini kuna wanawake wengine wanaliwa,kiutani utani labda ila itakayo kutoka ni ya lodge, ila uhongi hata senti.
 
Watu wengi waliopo kwa mahusiano ya kingono na ndoa wapo huko kwa sababu wengi wao ni wavivu yaani ni wavivu haswaa haswaa,hawawezi kufanya kazi wakapata hela ya matumizi,hawawezi kujifanyia usafi wenyewe,ni watu wanaotegemea watu wengine ili wao waishi,hawana mchango wowote kwenye hayo mahusiano zaidi ya sex ambayo kila mahali inapatikana. Ukiwa singo na umejipanga ndiyo utajuwa mengi kuhusu mahuasiano ambayo watu huwa wanajiingiza humo,hakuna la ziada zaidi kuuziana woga wao wenyewe.
 
Shida ipo kweñyé kumpata mtu mnayeendana na mna interest sawa,

Shida ipo kwenu dada zetu ambao mnadhani unaweza kumbadirisha mwanaume, hapo unaingilia hobby zaké na hamuwezi kuelewana.

Ukiona hupendi mwanaume anayetumia pombe tafuta mwanaume kwa walokole wenzio, siyo mwanaume first time mlikutana club leo amekuelewa muishi wote unaanza masharti hutaki anywe pombe, hili tatizo nalishuhudia nyumba nyíngi sana.
Point ya msingi ni kupata mtu wa kuendana nae hapo tu ndio naona nimekua nikifeli.
 
Ukiwa unaombwa ombwa sana kibunda chako hii inakua kwa kiwango cha juu sana just imagine una 10k ni mfano una 10k halafu linatokea toto la mtu ambalo sio yatima wala wazazi wake sio walemavu libaitaka hio 10k tena kwa lazima km lilikukopesha au lilikupa vile, hapo emotional instability lazima iongezeke na ukichaa upande kwa kasi ya ajabu
Bhasi humpendi sababu any man with golden balls kutoa kwa ampendae ni pride
 
Umeongea juu juu ila kuna content kubwa saa hapa
Ila itakua imeeleweka kimtindo mkuu, watu wasichokijua nikwamba siyo lazima wote tuwepo kwenye mahusiano kana kwamba ni fashion ambayo ukipitwa nayo basi utaonekana uko nyuma sana ktk hii Dunia.

Mahusiano siyo fashion Bro ni jambo linalohitaji utulivu wa akili na umakini wa hali ya juu, kuwa single siyo kwamba tunapenda, Acha watubeze watucheke ila tumeamua kuwa single ili kuilinda amani ya mioyo yetu siyo tu kulinda vipato vyetu

Ukiwa Fukara ndiyo kabisaa mapenzi yanakuonea sana, so Acha watucheke ilihali bado tunapambana kuwatafuta wenza wetu wa maisha

Ila twende mbele turudi nyuma Mapenzi yamejaa vitimbi vya ajabu saaaana......
 
Ukiwa na mdada sahihi, unaeza save hela nyingi na ukapata maendeleo kuliko ambavyo ungekua single.

Shida ni kumpata mdada wa hivyo, wadada wengi sahivi ukiingia nao kwenye mahusiano atataka achukue, achukue achukue mpaka usibaki chochote akuache mtupu Labani og
Kumpata huyo mdada ndo kipengele sasa
 
Back
Top Bottom