joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 16,329
- 34,101
Nime ya shuhudia haya na wana hawatoi hata senti nina mifano mia kidogo,hamna aliye single kwa asilimia zote ,kama wapo ni wachache sana hawa vuki asimimia 25.Hapana mkuu...tunaogopa matumizi yataongezeka
Halafu hawatongozi ile serous ni mazoea na matani then unashangaa mtu kaliwa na mwendo unakuwa hivyo hivyo.
Nakupa homework kama ukiwa na muda unaweza ifanya. Nimekulia uswahilini, kule unaweza kuta nyumba moja ina wapangaji kama kumi,kama kuna bachelor kapanga hiyo nyumba, basi ana uhakika wakupata K mda wowote ule,hiyo mifano ninayo mengi. Njoo makazini kuna wanawake wengine wanaliwa,kiutani utani labda ila itakayo kutoka ni ya lodge, ila uhongi hata senti.