Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Point ya msingi ni kupata mtu wa kuendana nae hapo tu ndio naona nimekua nikifeli.
Yani Kupata perfect Man ni imposible, mwenye sifa hizi atakosa sifa zile, cha msingi angalia angle muhimu unazohitaji mengine kubali yaende kama yalivyo ila usichukuwe uhuru wa binadamu mwingine hilo ni tatizo, hakuna binadamu anayemmiliki binadamu mwingine awe mwanamke au mwanaume.

Shida kubwa kwa wanawake mwanaume akiwa hivi yeye atataka awe vile na akiwa vile atataka awe hivi.

Mimi kwa mtazamo wangu kitu muhimu ni choice ya muonekano na shape ya unayemtaka, aweze kukufikisha kitandani hili siyo gumu wanawake wanaojielewa wanawaelekeza wanaume namna rahisi ya kuwakojoresha, cha mwisho source of income hapo mnaweza kusaidiana kuongeza kipato kama mwanaume mipango yake haiko sawa.

Hili naliweka hapa makusudi sisi tusiokuwa na mishahara kuna wakati tunapitia kwenye tanuru la moto ni mambo ya mpito tu, sasa hapo mwanamke dakadaka hamuwezi kuelewana ndani ya nyumba.
 
Sahihi mkuu....ni ngumu sana
 
Sawa sawa.
 
u-bachelor sio mbaya kama baadhi ya watu wanavyoelezea huku, naongea kutokana na uzoefu wangu kwenye u-bachelor

maisha ya ubachela ni mazuri kama unajua kujipenda yaani kujithamini mwenyewe hasa kwa sisi wanaume.

kuna sehemu nimeona mtu ame comment kwamba "ni gharama kuishi single" sasa sijui hizo gharama ni zipi kiasi cha kuzidi mtu anayekuwa anaishi na mwenza. Labda kama ni mwanamke hapo kidogo naweza kuelewa ila kama ni mwanaume, basi kuna shida mahali.
 
Kuwa single usiombe wazee nipo single mwaka wa 6 huu hakuna faina yoyote zaidi ya stress tu,chuki na kukosa kujiamini.
Saikolojia inasema ni heri uwe na penzi lenye migogoro kulikk kuwa single kabisa stress zake ni mbaya.
Stress mbona hakuna, unakwama wapi

Uko sawa kabisa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom