Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

kuna jamaa ni workmate kuna siku alinisimulia kuwa alikuwa na mpenzi anataka kumuoa ni aina ya wale wanawake omba-omba yeye thamani yake iko kwenye kuprovide k nothing more.
sasa kuna kipindi hakuwa vizuri kifedha demu akawa anataka pesa jamaa akamwambia hayuko vizuri asubiri kwa muda kidogo, yule demu akamwambia sasa nakuomba pesa unasema huna unanidanganya sasa kama huna wewe unaishije:D jamaa toka siku hiyo akapiga chini.
 
Back
Top Bottom