Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

Nilichonyaka ni hiki kitangazo hapa chini

Kwa anayehitaji huduma hizi:
WEDDING PLANNER
* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
 
Wewe una afadhali, mie ndio huwa simwelewi kabisaaa. Anatumia labda lugha ya picha sana.

Nilifikiri ni mimi tu ndio napataga shida kumuelewa shostito.

Labda ujaribu kuwa unafupisha na kwenda straight kwa point. Najua waweza kuwa msimuliaji mzuri wa ana kwa ana.
 
Back
Top Bottom