ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,571
- Thread starter
- #61
pole mwaya natumiaga lugha ya picha ngoja nitaijitahidi niwe natumia lugha nyepesi ili muelewe vizuri
Wewe una afadhali, mie ndio huwa simwelewi kabisaaa. Anatumia labda lugha ya picha sana.