Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,017
6,980
Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa

Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa hili jambo sio uchawi matajiri huwa wanatoa sadaka na kusaidia watu ili kupata maarifa unavyofanya mema Mungu anakuongeza maarifa katika kazi yako ili upate pesa na ndio mana utaona biashara yake inazidi kukua kwa Kasi kila siku

Mithali 2:5 Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA,
Na kupata kumjua Mungu.

Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima;

Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;

Kitu kingine tajiri anachokitafuta nikutafuta utofauti kwenye biashara anayoifanya unavyofanya mema kwa kusaidia waitaji Kuna mambo ya Siri Mungu anakufunulia katika mawazo yako.

Ushawahi Kuona biashara imefanywa na wengi na wote wameshindwa lakini Kuna mtu anakuja na kushika soko katika biashara hiyo basi hii huwa inatokea sababu mtu huyu anakuwa amefunuliwa Siri katika ulimwengu wa Roho

Danieli 2:22
yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.
 
Hata Matajiri wakubwa Mwamposa na kiboko ya wachawi!, nao wamepata utajiri wao kutoa sadaka.
 
Back
Top Bottom