Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

embu we kesho asubuhi muwahi yeye. Shikamoo mke wangu kabla ye hajasema. Au hata akisema yeye we usiitikie. Nawe sema mwamkie yeye.

Alaah kwan nani hana heshima bana?
 
mimi ananiita kaka peter, shikamoo kaka peter, asalaam aleykhum, yaani hapo hata tukiwa wawili ndani sio kusema kwamba kuna watu anavunga labda, nimesema wee lakini imemkaa akilini hiyo nami nishazoea now
Kaka Peter hivi yule kaka Ibra amepotelea wapi sijamuona kabisa
 
Ndivyo tulivyofunzwa atiii.... Shikamoo to who ever is older than you .... Even some Zanzibarian too.. I have one of my Aunt even though they don't live in Tz... Bust still she says shikamoo to her husband until now.. And they have been married since 1998 .. They are still happily married couples, utani upo, friendships and the love stills stand strong... Thanks..
kwani wewe wa TA dadaake?? kiukweli najivunia kuwa naye, unajua mtu kujiheshimu??
 
Shikamoo INA raha yake.( kimahusiano).... To me it doesn't matter .. I do that to mine and He loves it.. Nikisahau huwa anaiulizia because nishamzoesha... After all he is older than me .. Friendship stills the same .. Nothing changed because of shikamoo.. Thanks ..
Loveissweet duh Na KiswaNglishi chako mpaka unaboa.Si andika tu hicho kimombo au Kiswahili tujue moja.
Ningependa sana nikuone unavyo bana pua.
 
mimi sipendi, maana linaweka kama formality fulani hivi, mtu na mke mnatakiwa msiwe formal saana bana, mnatakiwa muwe kama marafiki mliozoeana na sio kama mtu na boss wake
Point.....inakuwa kama unamwekea mipaka mkuu
 
embu we kesho asubuhi muwahi yeye. Shikamoo mke wangu kabla ye hajasema. Au hata akisema yeye we usiitikie. Nawe sema mwamkie yeye.

Alaah kwan nani hana heshima bana?
Ikiwezekana akimwambia shkamoo aitikie "poa"
 
Itikia tuu, " marhabaa mke wangu mpenzi" ...lets say shez 23 wewe mume una 33..shikamooo inakuhusu otherwize yafuta wazee wenzio
 
Huyo mwanamke atakuwa amelelewa ktk familia zinazoambua nguvu ya mume ktk familia.


Endeleeni tu.

Kwa hiyo mleta mada kazaliwa kwenye familia inatambua haki za mwanamke ndio maana anashangaa kupewa shikamoo.

Binafsi naona jambo la kawaida tu kama kukupigia magoti.!
 
Mim huwa ananisalimia mara chache sana especially wakiwepo wagen lkn siku nyingine kamu kavu
 
Back
Top Bottom