Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Hapana mkuu labda kitchen party zao
Kabaino ulimpataje huyo binti mpole, mwenye adabu kupitiliza wakati wewe mtundu hivi, watoto wa type hii ni adimu sana,ila nakusihi usimkataze najuwa ni ngumu kupokea shikamoo kutoka kwa mwenza wako ila mvumilie na usiogope kuipokea,tena furahia teh teh teh
 
haaaa God bless u mr ;Toxic
 
mimi ananiita kaka peter, shikamoo kaka peter, asalaam aleykhum, yaani hapo hata tukiwa wawili ndani sio kusema kwamba kuna watu anavunga labda, nimesema wee lakini imemkaa akilini hiyo nami nishazoea now
naanza kuzoea lakini ;thanks u peterchoka
 
Mi niliduwaa siku moja nipo kwa anko nasikia shangazi anamsalimia shikamoo (seriously) na mjomba anaitikia. Ni kweli kamzidi umri lakini maana ya shikamoo inakujaje sasa wakati wanalala kitanda kimoja na hakuna wasichojuana?
 
Shikamoo INA raha yake.( kimahusiano).... To me it doesn't matter .. I do that to mine and He loves it.. Nikisahau huwa anaiulizia because nishamzoesha... After all he is older than me .. Friendship stills the same .. Nothing changed because of shikamoo.. Thanks ..
 
Mi niliduwaa siku moja nipo kwa anko nasikia shangazi anamsalimia shikamoo (seriously) na mjomba anaitikia. Ni kweli kamzidi umri lakini maana ya shikamoo inakujaje sasa wakati wanalala kitanda kimoja na hakuna wasichojuana?
Aahhhaaaaa.. Shikamoo ni sweet atiii... Thanks..
 
Back
Top Bottom