Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,460
- 763
Wewe wasemaMama Samia kiboko aise, Tumuungeni mkono,
Wewe wasemaMama Samia kiboko aise, Tumuungeni mkono,
Njoo inboxKama hayo ndio maelekezo ya Mh. Rais basi HESLB wanamhujumu mkuu wa nchi maana wapo wanaotoka kaya maskini tena wanufaika wa TASAF na niyatima wa mzazi mmoja hawajapewa mkopo mpaka wamekata rufaa. Wengine wenye sifa kama hizo wamepewa hata haifiki asilimia 40.
HESLB inamhujumu mkuu wa nchi
Kweli kabisa ,Mimi ninaye Tasaf halafu mzazi mmoja mlemavu lkn kakosa kabisa.Kama hayo ndio maelekezo ya Mh. Rais basi HESLB wanamhujumu mkuu wa nchi maana wapo wanaotoka kaya maskini tena wanufaika wa TASAF na niyatima wa mzazi mmoja hawajapewa mkopo mpaka wamekata rufaa. Wengine wenye sifa kama hizo wamepewa hata haifiki asilimia 40.
HESLB inamhujumu mkuu wa nchi
Hao HESLB wasaniitu. Rushwa imetawalaKweli kabisa ,Mimi ninaye Tasaf halafu mzazi mmoja mlemavu lkn kakosa kabisa.
Nije inbox kuna neema gani mkuuNjoo inbox
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,kosa kubwa ......
watafika vyuoni hawana hata 100
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 ni wawekwzaji wakubwa kabisa......Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,
Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,
VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,
Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100%
Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia Suluhu Hassan ameagiza watoto wote waliotoka nyumba zinazohudumiwa na TASAF wapewe mkopo 100% hata kama wanakwenda kusoma masomo yasiyo ya Sayansi.
Namkopo huo wa 100% wapewe kabla hawajafika chuoni, that's Mama.
👇🏿
👇🏿
![]()
HESLB 872 Students To Get 100 Percent Of Loan
The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has announced a list of 872 students who will receive 100 percent loans regardless of the subjects they havewww.uniforumtz.com
______________________________
The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has announced a list of 872 students who will receive 100 percent loans regardless of the subjects they have been selected to join.
That number is for applicants who are certified to be from poor households that are serviced by the Community Development Fund (Tasaf).
The statement was issued on Wednesday, September 15, 2021 by the board’s executive director, Abdul-Razaq Badru during the signing of a loan agreement for applicants from poor households.
TASAF HESLB: 782 Students To Get 100 percent of Loan
Badru said the students will receive loans before starting classes to reduce inconvenience. He said the program is sustainable and they have already put in place a system to monitor them from primary schools to form six.
“We have developed a joint system with our colleagues in the Ministry of Education and Tasaf, we will be identifying students early so their application will have its priority,” said Badru. You can read also below
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA View attachment 1942133