DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,042
- 3,035
Umejibu Nini Sasa nataka ujibu hoja zangu na umekuja hapa kuniattack meanwhile hunijui!Unavyoniambia nisubiri nije mtaani unadhani mimi ni mwanafunzi?
Mnapenda ku focus energy zenu kwenye mada za kipuuzi mnaacha kukita ubongo kwenye issues za msingi. Kwahiyo kilichokuuma wewe hapo ni kudanga na kubet, nakuuliza tena. Aliesema hayo ni kiongozi au a mere person? Si kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni? Nyinyi wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndo mnakaa mnahemka na mada ambazo hazina kichwa wala miguu
Kumuita msomi wa chuo kikuu kuwa Ni mdangaji na mkamaria kwako wewe Ni Uhuru wa maoni na sio upumbavu uliopitiliza!
Kama Huyo sio mwanafunzi anaitwaje kwenye media kuzungumzia maswala ya wanafunzi wa Elimu ya Juu na kusema bila wwoga kwamba 1500, itawafanya wasidange na kukamarika?
Nani alimpa mamlaka ya kwenda kwenye tv kuzungumzia hayo wakati Kuna Rais, Kuna waziri wa Mikopo nk!
Huwezi kuiita hii Mada Ni ya kipuzi wakati inabagaza wasomi, na Kama wewe upo kwenye kundi Hilo Basi na wewe Ni either mdangaji au mkamaria! Watu ambao hawana moral authority to serve the nation.
Kama ulivyodhani kuwa Mimi nimesoma enzi za Mkoloni, Basi na Mimi nimedhani wewe pia Ni mwanafunzi, jaribu kujadili hoja! This will show you how matured you are!
Nimesoma enzi za Bodi ya mikopo iko TIRDO msasani kituo Ni macho!