Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

Unavyoniambia nisubiri nije mtaani unadhani mimi ni mwanafunzi?

Mnapenda ku focus energy zenu kwenye mada za kipuuzi mnaacha kukita ubongo kwenye issues za msingi. Kwahiyo kilichokuuma wewe hapo ni kudanga na kubet, nakuuliza tena. Aliesema hayo ni kiongozi au a mere person? Si kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni? Nyinyi wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndo mnakaa mnahemka na mada ambazo hazina kichwa wala miguu
Umejibu Nini Sasa nataka ujibu hoja zangu na umekuja hapa kuniattack meanwhile hunijui!

Kumuita msomi wa chuo kikuu kuwa Ni mdangaji na mkamaria kwako wewe Ni Uhuru wa maoni na sio upumbavu uliopitiliza!

Kama Huyo sio mwanafunzi anaitwaje kwenye media kuzungumzia maswala ya wanafunzi wa Elimu ya Juu na kusema bila wwoga kwamba 1500, itawafanya wasidange na kukamarika?

Nani alimpa mamlaka ya kwenda kwenye tv kuzungumzia hayo wakati Kuna Rais, Kuna waziri wa Mikopo nk!

Huwezi kuiita hii Mada Ni ya kipuzi wakati inabagaza wasomi, na Kama wewe upo kwenye kundi Hilo Basi na wewe Ni either mdangaji au mkamaria! Watu ambao hawana moral authority to serve the nation.

Kama ulivyodhani kuwa Mimi nimesoma enzi za Mkoloni, Basi na Mimi nimedhani wewe pia Ni mwanafunzi, jaribu kujadili hoja! This will show you how matured you are!

Nimesoma enzi za Bodi ya mikopo iko TIRDO msasani kituo Ni macho!
 
Natamani mngejua ni kwa kiasi gani huko vyuoni kuna vilaza, wala hata msingeshangaa kusikia hizi pumba.

Wanachuo wengi wa kizazi hiki wameenda chuo kukua, wapo huku kwakuwa wazazi wao wanataka wawe chuo.
Uko sahihi sana!
Bila aibu juzi nimemuona mwanachuo anasoma tuisheni, mzazi anampeleka mwanachuo chuo kureport!
 
Umejibu Nini Sasa nataka ujibu hoja zangu na umekuja hapa kuniattack meanwhile hunijui!

Kumuita msomi wa chuo kikuu kuwa Ni mdangaji na mkamaria kwako wewe Ni Uhuru wa maoni na sio upumbavu uliopitiliza!

Kama Huyo sio mwanafunzi anaitwaje kwenye media kuzungumzia maswala ya wanafunzi wa Elimu ya Juu na kusema bila wwoga kwamba 1500, itawafanya wasidange na kukamarika?

Nani alimpa mamlaka ya kwenda kwenye tv kuzungumzia hayo wakati Kuna Rais, Kuna waziri wa Mikopo nk!

Huwezi kuiita hii Mada Ni ya kipuzi wakati inabagaza wasomi, na Kama wewe upo kwenye kundi Hilo Basi na wewe Ni either mdangaji au mkamaria! Watu ambao hawana moral authority to serve the nation.

Kama ulivyodhani kuwa Mimi nimesoma enzi za Mkoloni, Basi na Mimi nimedhani wewe pia Ni mwanafunzi, jaribu kujadili hoja! This will show you how matured you are!

Nimesoma enzi za Bodi ya mikopo iko TIRDO msasani kituo Ni macho!
Mkuu uko na busara sana jamaa unaebishana nae ni full of negative energy, hautashinda hio league ya ubishi muache. Ila jamaa alieongea kwa tv anashusha thamani ya mtu kuwa na elimu ya juu.
 
Uko sahihi kabisa naona full of negative energy na kumtetea ujinga na upumbavu!

Huwezi kuruhusu mtu atumie buku jero kuidhalilisha elimu ya Juu kwa kuwaita wadangaji na wakamaria!
 
Siku watu wengi wa nchi watakapoacha kuwa wajinga, ndio siku tutayokuwa huru...

Bado kuna idadi kubwa sana ya wananchi wanaoabudu wanadamu wenzao...
 
Back
Top Bottom