Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
563
1,756
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya kukaliwa na waarabu wa sasa
 
Ukae ukijua na Watanganyika tunacho kibarua cha kuudai Utanganyika wetu uliopokwa na muungano uchwara usiokuwa na mashiko kwa dunia ya leo.

Lizingatie sana hilo hao unaowasemea hapa wala mpango na wewe hawana.
Mkuu humu jukwaa la Internationa unafanya nini kama halikuhusu ? Huwezi kwenda bar ukaanza kulalamika hawauzi uji, Nena sehemu husika !!

Mambo ya Tanganyika yamo kwenye jukwaa la siasa na habari,,, Jaribu kuelewa maana ya majukwaa.
 
Mkuu humu jukwaa la Internationa unafanya nini kama halikuhusu ?

Ni vema uende jukwaa husika, Mambo ya Tanganyika yamo kwenye jukwaa la siasa na jabari,,, Jaribu kuelewa maana ya majukwaa, Huwezi kwenda bar ukaanza kulalamika hawauzi uji, Nena sehemu husika !!
Sawa masta.

But next time basi utaongelea na issue ya Tanganyika ili tuujue msimamo wako.
 
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya hapo baadae kukaliwa na waarabu
Hakujawahi kuwa na Taifa la Tanzania kabla ya 1964, Je wangekuja wa Iran Kabla ya mwaka 1964 na kuchukua hili eneo na kusema ni lao sababu mababu zao zaidi ya miaka 1000 iliopita walilinunua je ingekubali wazawa wote waondoke Nchi hii na kupisha wa Iran?
 
GJ8AsmFWsAESFev-1.jpg
 
Kabla 1947 hapakua na taifa linaitwa Tanganyika wala Tanzania
Kabla ya 1947 hapakuwahi kuwa na mataifa mengi sana tunayo yajua leo

Mataifa hayakuwepo bali yaliundwa na yanaundwa sasa na yatendelea kutengenezwa mengine
 
Mkuu historia ya mashariki ya kati haifanani kabisa na historia Tanganyika.
Mataifa ya mashariki ya kati yanahistoria zao zaidi ya miaka 3000 iliyopita.
 
Mkuu unachotakiwa kujua ni namna gani Taifa huanzishwa

USA hapo kabla ilikua inakaliwa na wahindi wekundu, wavamizi walowezi wa kizungu wakalowea na watumwa...... leo hii tunataifa la USA

Yes historia inaonyesha Waisrael waliwahi kuishi pale wakiwa kama dominant lakini tawala mbali mbali ziliwafanya wakaondoka na kwenda kulowea nchi zingine na hapo ndipo waarabu wakalowea
Waarabu wamekaa pale zaidi ya miaka 600 na eneo lile likawa linaitwa Palestine

Bara la Africa ushahidi wa kihistoria unaonyesha walikua wanaishi watu weusi tu kabla walowezi wa kiarabu hawajalowea na leo tuna mataifa kama misri algeria morroco yamejaa waarabu
 
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya hapo baadae kukaliwa na waarabu
Unavyowapenda wayahudi siku ukienda ukirudi huko kwa mpalange kutabaki km hv
 
Attachments

  • Screenshot_20240509-163339.jpg
    Screenshot_20240509-163339.jpg
    363.8 KB · Views: 3

"A State is Born in Palestine - The New York Times" https://www.nytimes.com/2011/10/09/magazine/a-state-is-born-in-palestine.html
 
Back
Top Bottom