Guys be like "Nina kazi nzuri, Gari, Nyumba, Pesa lakini sipati Mke"

Tanzania wanawake wanaojielewa hawafiki hata 10%... Ni wachache sana, angalia dada zetu wanavyomegwa na wazungu wakiamini tu wazungu watawapa maisha mazuri... Nakuampia hapa JF hakuna dada yeyote atatongozwa na kibabu cha kizungu kikakataa...
Weweeee acha kugeneralize wengine we are allergic to ngozi nyeupe, hata mwanaume mweupe mtanzania hana mvuto kwangu
 
l
"I dont look down on anyone, unless I'm in love with his/her shoes"

Hakuna mtu anayependa shida, Kila mtu anataka maisha mazuri na umaskini sio sifa eti, kaa bila hela utahenyekaje. Nachosema ni hivi apart from hizo hela zako,ana vitu gani vingine vya kumfanya mtu akukubali? Natoa tu mfano kuna wanaume wana hela haswa, ila "HAJITAMBUI", yani ukikaa naye ni bora tu ukamchukue mtoto wa nursery maana ufahamu wake umemzidi huyu mtu mzima. Mwingine tabia ni chafu bora ya jogoo. Mimi mwanaume wa hivyo, hapana tu kwa kweli
kwani wewe shida yako nini? unataka nini.......
 
1457435231544.jpg
 
Heaven umeongea kweli wengi wanajisahau wanafikiria kuwa na nyumba sijui mini ndo mambo yao yatawanyookea. Kuna vtu vidogo ka hekima approach wengi huzikosa mi najawajua wana kila kitu ilq mke wamekosa wajichunguze life style zao

Mwanamke ni binadamu hivyo, ana hadhi kuliko kitu chochote ambacho mwanaume anaweza kukitafuta ama kukitengeneza lakini tatizo ni kuwa kiumbe huyu haitambui thamani yake maana amejiweka cheap kuliko vitu ambavyo tunavitafuta.......
Hamna anachostahiki dhaidi ya kudharaulika na usidhani kama utaipandisha hadhi hiyo via social networks....

KAMA MAPENZI NI PESA KWA MWANAMKE BHASI KWA MWANAUME PESA NI ZAIDI YA MWANAMKE MAANA UTAMPATA KUPITIA PESA NA HII HAIKUTOFAUTISHI NA BIDHAA ZA DUKANI......MMEJIROGA WENYEWE
 
Umenena vyema Douta..Pesa inaweza kuwa chachu kwenye mapenzi/mahusiano lakini sio ndo kila kitu..Unaweza kutumia pesa zako kumpata msichana mzuri lakini usipate upendo wa dhati au usiwe na ndoa bora..Tumeshaona Watu kibao tu wenye pesa zao wanafanywa kama madaraja..Mabinti wanawatumia..zen wakishavushwa basi wanaendelea na hamsini zao..Ndo mana si kitu kigeni kuona binti ana mme mwenye pesa lakini anadate pia na muuza mkaa...

Btw Mwanaume anayemtokea mwanamke kwa kunadi mali zake uwa namuona kama hazijatimia kichwani
 
Tanzania wanawake wanaojielewa hawafiki hata 10%... Ni wachache sana, angalia dada zetu wanavyomegwa na wazungu wakiamini tu wazungu watawapa maisha mazuri... Nakuampia hapa JF hakuna dada yeyote atatongozwa na kibabu cha kizungu kikakataa...
Ukisema hapa JF hakuna mwanamke atakataa akitongozwa na kibabu mzungu unakosea sana kuna wengine wazungu siyo type Zao
 
umeandika vizur BI MDADA lakini wenzenu wa zama hizi pesa kwanza ukidai unavyo vyote umekosa mke haimaanishi umekosa mwanamke SI KILA MWANAMKE ANAFAA KUITWA MKE NDOA INA THAMANI YAKE mwanaume hakosi mwanamke bali anakosa mke
na yote ni viogezo ulivojiwekea lakini wanawake wa sasa WAO SHOBO TU UNAMFUNUA UNAMUACHA
 
Back
Top Bottom