Guys be like "Nina kazi nzuri, Gari, Nyumba, Pesa lakini sipati Mke"

90% ya wanawake wa Tz ni gold diggers tu... Na kamwe huwezi fananisha nyumba na mwanamke.. Kila mtu anaweza kumiliki mwanamke hata 10 akitaka ila sio kila mtu anaweza kumiliki nyumba..

All in All 98% ya wanawake wa JF ni gold diggers wanaopenda vitu vizuri vizuri.. Nishapiga zaidi ya 10 humu JF hawana lolote, maisha yao ni tofauti na haya wanayoandika humu..
Tumbua jipu mkuu..
 
Anataka umuoe au akuoe?? Anataka akuoe ili aendeleze ungurunda wake... Na wanawake wa hivyo wengi wanatoka familia zisizo na mbele wala nyuma.. Hivi unafikiri mzazi mwenye akili sawasawa atakubali binti yake akaolewe na mtu asiye na kazi ya msingi ya kufanya??
pole, inaonekana hujawahi kupata mapenzi ya kweli, au labda huwajui wanawake vizuri
 
How ironic. It's women's day, and women already turned it about men. All right.

Nadhani wengi huwa wanaongea figuratively wakisema kauli kama hizo. Katika jamii zetu za kiafrika, huwezi kuoa kama huna uwezo wa kuitunza familia. Usafiri, nyumba, na mengineyo, kwa kiasi kikubwa vinakuwa kama assurance kuwa jamaa anaweza kuihudumia familia (from a financial stand point). So, jamii ikiona mtu yupo tayari ila bado anaranda randa, ndio inamuhoji na majibu kama hayo yanatokea. Labda ni kweli wanaume wengi hatujitambui, ila pia haipingiki kuwa wanawake wanaostahili kuolewa ni wachache mno. I'm somewhat disappointed umeegemea kushambulia upande mmoja.

Na mtu akisema haoni mwanamke wa kuoa, haimaanishi kuwa wanawake waliopo hawafai. Pengine bado hajamuona anayemfaa. I just don't get the fuss.
 
U nailed it...
 
Nisome vizuri unielewe. Apart from mali zako, una kipi kingine cha ku-offer? unajua maana ya bonus, kunakuwa na Vitu vingine vya muhimu afu bonus ndo inakuja. Jobless ana nini na ana bonus gani ndo swali la muhimu, Sijasema watu waolewe na maskini
wee umetoka sayari gan jupiter or earth, i think jupiter. Lakin Earth ki2 kama hicho hakuna trust me
 
Mwanamke mi bidhaa ambayo bwana Mungu aliundaa inaupekee wa kila kitu maana mpaka ujue wanachotaka lazima upitie maneno yake Mungu Kama user menu ndio uweze angalau kuwaelewa lakin si vinginevyo
 
How ironic. It's women's day, and women already turned it about men. All right.

Nadhani wengi huwa wanaongea figuratively wakisema kauli kama hizo. Katika jamii zetu za kiafrika, huwezi kuoa kama huna uwezo wa kuitunza familia. Usafiri, nyumba, na mengineyo, kwa kiasi kikubwa vinakuwa kama assurance kuwa jamaa anaweza kuihudumia familia (from a financial stand point). So, jamii ikiona mtu yupo tayari ila bado anaranda randa, ndio inamuhoji na majibu kama hayo yanatokea. Labda ni kweli wanaume wengi hatujitambui, ila pia haipingiki kuwa wanawake wanaostahili kuolewa ni wachache mno. I'm somewhat disappointed umeegemea kushambulia upande mmoja.

Na mtu akisema haoni mwanamke wa kuoa, haimaanishi kuwa wanawake waliopo hawafai. Pengine bado hajamuona anayemfaa. I just don't get the fuss.
Paul sijachamba bana, I was just giving out my opinions.
Nilichomaanisha ni kwamba kuna watu akishaona ana hizo mali, basi anahisi tayari anaqualify for a husband material title so akitaka tu mke anampata fasta, simply because ana mali.. hatakiwi hata kustruggle. Cha kujiuliza hivi mwanaume akiwa tu na mali ndo anafaa kuwa mume bora, hata kama hajitambui, mlevi, muhuni, Hajali, hana hekima etc? Hakuna vigezo vya kuangalia ndani ya "mume bora" apart from mali zake? Ni mtu wa aina gani, unabehave vipi, una misimamo gani, una busara, unaamini nini, unanivutia, una upendo vina matter sana kabla hatujaanza kuangalia mtu ana mali gani. Hivi mali ndo nguzo pekee ya maisha mazuri ya ndoa? Mbona kuna watu wana maisha ya kawaida tu na ndoa zao zina amani?
 
90% ya wanawake wa Tz ni gold diggers tu... Na kamwe huwezi fananisha nyumba na mwanamke.. Kila mtu anaweza kumiliki mwanamke hata 10 akitaka ila sio kila mtu anaweza kumiliki nyumba..

All in All 98% ya wanawake wa JF ni gold diggers wanaopenda vitu vizuri vizuri.. Nishapiga zaidi ya 10 humu JF hawana lolote, maisha yao ni tofauti na haya wanayoandika humu..
Mwanaume halisi hajisifii kupiga idadi kubwa ya wanawake.
 
Back
Top Bottom