Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,460
6,894
NBC Premier League leo Ijumaa

Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.

Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki?

1741934498922.png

Vikosi vya timu zote
1741955949658.png

1741956025255.png
Mechi imeanza (KickOff)

09' Milango bado haijafunguka pande zote, Simba inatuma mashambulizi ya mara kwa mara langoni mwa Dodoma Jiji
10' Mechi imesimama, Kipa wa Dodoma Jiji Ngeleka anatibiwa
17' Goooal Mpanzu
23' Goooal Ahoua
45+1' Goooal Ahoua

Mapuziko (Half Time)

Simba SC 3-Dodoma Jiji
Kipindi cha pili kimeanza

Simba SC 3-Dodoma Jiji

46’ Gooal Mukwala
54' Goooal Kibu D
 
😂😂😂yule tahira wenu Magori alisema hamtacheza mechi yoyote mpk yanga adhibiwe?. Matahira fc a.ka.a watia mpira kwapani.
Yanga wameshaadhibiwa,matunguli yao waliyofukia uwanjani yatakuwa yameexpire ndio maana nao wamegomea mechi kabla haijapangiwa tarehe mpya
 
Back
Top Bottom