Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,221
- 4,944
Dodoma wawe makini, mbuzi na wazee wasiingie
Weka vikosi nduguNBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.
Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki?
Kanuni hazizuii kuleta wazee wafupi au mbuzi..Dodoma wawe makini, mbuzi na wazee wasiingie
All the best SimbaNBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.
Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki?
Vikosi vya timu zote
Hata Yanga wawe makini kwenye mechi itakayopangiwa tarehe nyingineDodoma wawe makini, mbuzi na wazee wasiingie
Matamanio vs Hali halisiSare nyingine hii
Mbinu za Utopolo hiziGameim imechelewa kuanza hapa
Imani za kiwaki hiziMechi inatangazwa na gharib mzinga tujiandae kisaikolojia na nuksi