MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
mkuu mimi mwenyewe nimesumbuliwa sana ila nime waweza kwa kitu kidogo sana tafuta ya umeme na id kishwa maana mi nilikua watanizungusha ila fasta tuTickmill ananizungusha sana kuverify account yangu anahitaji document mpya ya adress tofauti n ile ya bank statement nlokwisha kuapload and also wananihitaji ni verify address kwa email most of the time. Wameomba cheti cha kuzaliwa nimewapa till now bado hawajajibu.
Je?wataniverify au ndo usumbufu afu mwisho wa day am not allowed to trade