Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

Somewhere in between eeh?

Sure.

I'm just kidding here but I love it when am withing healthy BMI. I feel so good.
I was imagining the camel toe you could have had. 😂😂😂😂😂

Dirty mind..
 
Ukiona picha yake unaweza ukasonya kwa kusema mbona ni mwanamke wa kawaida tu? Yes ni kweli sameera ( Samira) alikuwa Dada wa kawaida tu kimuonekano...But honestly she was a very very nice person.

I saw a lot of my mother in her.

Katoto nilikapenda mnoo.

Nilianza kukafahamu way back 2010/2011 wakati nasoma udsm wakati namalizia shule udsm( finalist) kenyewe by that time kalikuwa mwaka wa kwanza.

Niliingia nako rasmi katika mahusiano ya kimapenzi mwaka 2012.

Nilikapenda Sana na kenyewe kalinipenda Sana. Tulipendana. I was very much attracted to her soul.

Kuna kipindi nilianza kuhisi may be she was my soulmate.

Memories zangu na Sameera zipo nyingi sana..I thanks God for Sameera..

Upendo wangu kwake ulikuwa mkubwa sana ..Ilifika kipindi nikaanza kumuona Sameera Kama another part of me or rather a part of me that was created in another body.

Niliwahi kusema ndani ya nafsi yangu mwanaume.atakae kuja.kumuoa sameera.hakika.atakuwa amepata mke kweli kweli.

Maelezo Ni marefu Sana, Sameera.ali graduate mwaka 2013 . She went back to Moz.

Tulikuwa tunawasiliana baadae mawasiliano yakakatika.

Last 3 weeks .i.had a trip to Joburg as I was therein nikapata wazo kwamba niende.Maputo kutembea na.wazo la.Maputo.lilipo kuja nikamkumbuka Sameera so nikamchek akaniambia yupo Beira .

Nikaomba kukutana nae Beira. Sameera alifurahi Sana kuniona na Mimi nilifurahi ZAIDI.

Sameera is now a single mother. She has employed by her Government tangu alipo graduate ( in Moz to graduate is to be employed in the govt ) na kiukweli yupo vizuri kiuchumi.

Yeye kuwa single mother kwangu alikuwa tatizo tatizo.kabisa. Upendo wangu kwa Sameera ume move kutoka " Romantic " to Agape. Kama tungekuwa wakatoliki Mimi ningeomba kuwa baba wa ubatizo wa mtoto wa sameera.

Tatizo la sameera Ni amenenepa.kupita maelezo...

Ameuvunja Moyo wangu.. Siku kakopesha nilikachana live Nika kaambia lazima kapunguze mwili wake and she was like ooh unajua I don't have much time for gym.or something , I told her u have to make time for gym. U have to stop.eating red meat etc ( na vyakula.vyote vinavyo nenepesha)

Nika kaambia natamani twende wote tz nikusimamie kuhakikisha unapungua na.kurudi Kama ulivyo kuwa zamani.

She was like " Likud now I can see.u really love me, u know those days at the hill I was beginning to think that you was fake.because u was loving everything about me.

Anytime if I would tell you like baby u know I like this or that and u was like, woooow !!!.me too!!!

Anyways Sameera has promised me to loose her weight. In addition to her or promise when I went back to Joburg I purchased some good amount of Asparagus nimememwambia awe ana tumia hizo kila.siku..

Enyi kina dada ambao Sasa hivi mpo slim, fanyeni muwezavyo msinenepe. Mwanamke aliekuwa slim akinenepa ana chukiza Sana.

Sisi wengine tunawapenda wadada wembamba.

Please kama.na wewe upo kwenye kundi la.samira please promise here kwamba utapunguza mwili wako..

Eti ulitamani kukaowa hahahaa!huwajui vizuri wanawake wa Mozambique!utajuta maisha yako yote
 
Akipinguza mwili unsmuoa au utendelea tu kupiga ovyo ovyo?
Maana ucje ukawa umempa kazi ya kupungua af huna mpango wa kumwoa
 
Asparagus inaongeza libido sasa nyie kuleni matokeo yake muanze kumfuata mtoa mada awatafutie asparagus nyingine
 
Nami namsiistiza Sameer aje bongo ili LIKUD anipatie tenda ya kumletea asparagus kwa ajili ya mpenzi wake. Kule kwetu asparagus zinaota porini naturally and organically hasa mvua zinapokua zinaanza.
 
Nime ku pm kaka
 
I thanks god.

You was fake.

Loose weight.

aliniumizi.

Anyway uliposema Samira was part of you kisha ukaja andika 'Atakayemuoa..' nikafikiri utamalizia na atakayemuoa Samira atakua kakuoa na wewe.
Aisee
 
Ewe Mdada, kama unajua unaenda mbinguni basi be Slim.

Ila kama unaenda Jehanamu, ndugu yangu jinenepee. Ili angalau kuwepo na stake za kuliwa na moto.

Vinginevyo moto utakuwakia kwenye mifupa tu.
Mtatuua nyie wanaume wallahi
 
Akipinguza mwili unsmuoa au utendelea tu kupiga ovyo ovyo?
Maana ucje ukawa umempa kazi ya kupungua af huna mpango wa kumwoa
Nataka apunguze mwili kwa sababu nampenda. Unene Ni hatari kwa Afya. Unaweza kuleta matatizo mengine hatari Kama vile magonjwa ya Moyo etc.

Upendo wangu kwa Samira ume graduate kutoka erotic Hadi kuwa Agape.

Nataka aishi.
 
Unatumia Kama mboga Yan iwe ndo chakula chako kikuu. Ni superfood. U will thank me later
Sizipendagi.bora nijirukie zangu kamba,maji ya moto yenye limao na maganda yake..na punguza mijisosi ya ajabu ajabu..niwe mwepesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom