Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

Tunakumbushana tu. Kuna kimbunga kinakuja Likud.

Kilo zako zitakusaidia ama ndo utapukutishwa?

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Mi Nipo salama kabisaaa na kilo zangu nipo kama nanga.
God forbid haitatokea
 
Quite the opposite.

Tunaoenda mbinguni acha tujinenepee.

Mbinguni tutapewa mwili mpya.

Don't you read Religious Books?
Mbinguni hutakiwi kunenepa.

Religious books quote that duniani ni pa taabu. Sasa mtu utanenepaje kwenye taabu??

And there in heaven, you shall be praising and dancing. Thick people might don't make better steps. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Pungua mama...
 
Sasa kwa hiyo sisi wanene we are contradicting the book? Lol

Tutasakata rhumba hutaamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom