AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
- Thread starter
- #81
acha atumwe na mdosi huyoHistorically humu, Hakuna Uzi uliomuhusu Dkt Dau hujawahi kuchangia kwa kumtusi!
Dau kishaondoka NSSF pigania vyeo ulivyohisi ulivikosa kwa uwepo wa Dkt maana hata alichokuacha Nacho pia kimekuponyoka!
Kitu ambacho huwezi na wengi wenu hamjui ni rahisi kumuua Dkt kuliko kum frustrate, kipindi kile mlivyopewa assignment ya kum frustrate mlifeli kweli kweli na mpaka waliowatuma walitambua hilo, vile ndivyo alivyoumbwa yaani ni 'all weather '