Ni utumwa fulani hivi.
Kusubiri mtu mwisho dakika 30.
Tuko msibani najua, lakini msibani nako tunaomboleza na kuchogezana kwa stories, au siyo?
Nilipokuwa kijana nilikuwa mwingi wa habari, basi nikapangana na kidosho mmoja wa Harlem New York, mtoto African American matata, tukapangana tukutane mgahawa mmoja maarufu hapo baada ya kazi.
Basi mwenyewe nikajipanga nikafika hapo, dakika kadhaa kabla ya miadi. Shauku kubwa mtoto anakuja. Subiri, subiri na wewe, subiri, subiri na wewe, dakika 10, dakika 20, dakika 30, dakika 40. Nikaona ujinga huu.
Nikapiga kushoto kulia mpaka kituo cha treni 125th St. Napanda juu kuchukua treni, namuona kidosho anashuka upande wa pili, kapiga kikaptula mwenyewe, paja paja, toto toto. Lakini akawa kashakosa sifa tayari, hata sikutaka kumpigia mbinja.
Sasa mtu nimesamehe totoz hivyo kwa sababu ya kutoshika miadi halafu bosi aniweke sehemu masaa namsubiri?
Kwani mimi boi wa muhindi?
'kifuko nyege ' kilikuwa hakijajaa! , otherwise ungechoma Mahindi ya kutosha