mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,897
- 8,350
Mnajitakia wenyewe nani amesema matusi ndio njia ya kufikisha ujumbe,sijui mukoje maana hata matusi yenu tunayasoma hapa JF sasa huko mitaani ndio balaa,lazima mushikishwe adabu,matusi ya nini watu wazima ?mnaleta picha gani kwa watoto na taifa ,kuanzia Lema hadi kwa huyo mwingine ni mwendo wa matusi tu ,matusi ndio siasa ?Upinzani tuwe makini sana na utawala huu