Diwani wa Kata ya Iseke(CHADEMA), Emanuel Jingu ahukumiwa kwenda jela miezi mitano

Mi niliwaambia ni bora kuwe na chama kimoja tu cha ccm,hapo maisha ya wengi yatapona na familia nyingi zitapunguza uchungu.Hivi sasa huu upinzani unawapa sababu ya baadhi ya wananchi kutoifahamu vyema ccm.Naomba ligi tuwaachie wao kwa wao
 
Naona ni diwani Chadema,viongozi Chadema ndo wanafungwa tu,hawa ccm wanahisi watatawala milele? Inauma sana..
 
Mnyonge hana haki siku zote lakini huo ni ujinga yeye sio mwendawazimu kutukana bila chanzo we mtoa post tafuta kwa kina chanzo alafu utuelezee hapa
Hata kama kunachanzo nani amekwambia kuwa kukiwa na chanzo unatakiwa kutukana?
 
Hawajashindwa!! Hukumu imetokea hapo hapo.....watalipa faini na atakuwa huru!!! Watabebwa mpaka lini?? Wafute basi vyama vingi.......
Hivi hukumu ni cash tu??

Na hata kama ni cash... M-Pesa hakuna?

Sad day today, CHADEMA wameshindwa kumsaidia diwani wao
 
KWANI KAMALIZA KIFUNGO KWA KUSHINDWA KUJILIPIA AU KULIPIWA? undhani waijiandaa kwa ajili ya kulipa faini? acha ujinga wewe hiyo fedha ndogo mno hata mimi ninaweza kumlipia ila jua kuna utaratibu ndugu. Ufahamu wako mdogo sana ndugu.
Ujinga ni tunu ya TAIFA pia

Vipi diwani yupo jela au uraiani?

kama yupo uraiani basi mjinga mie, ila kama yupo jela basi mjinga ni wewe na wa kwenu wote

Kumbuka: kuna tofauti kubwa sana kati ya "typing" na real life
 
Ameshalipiwa na ameshatoka!! Acha lawama zisozo na utafiti watanzania wamezoea kila kitu wanalalamika!!! Alilipiwa wa 7m sembuse laki 5......na amepewa zingine nyingi tuuu za kujiweka sawa.....na kufukia mashimo!!!
Hivi hukumu ni cash tu??

Na hata kama ni cash... M-Pesa hakuna?

Sad day today, CHADEMA wameshindwa kumsaidia diwani wao
 
Zilikuwepo Tangu Zamani sema tu Kina JK Walikuwa Dhaifu .

Awamu ya Tatu Wakati wa Mzee Mkapa Hayati Mchungaji Mtikila alishafungwa Mwaka mmoja kwa kosa la Kumtukana Mh. Rais.

Wakati huo huo Wa Mkapa Makamu Mwenykt wa TLP Mh. Leo Lwekama nae alifungwa Gerezani kwa kosa la Kukanyaga hadharani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Utawala huu wa Mzalendo Dr. Magufuli umeamua kurudisha nidhamu mpaka kwny Siasa!
Na ukija utawala wa mzalendo zaidi viongozi wengi wa ccm watanyongwa kwa makosa yao. Ni jambo la wakati tuu,na upandacho ndicho uvunacho
 
Hakuna haki iliyo wai kupatikana kwa watu kuongea tu. ....haki haiombwi haki huchukuliwa kwa jasho na damu. !!!!!
 
Ujinga ni tunu ya TAIFA pia

Vipi diwani yupo jela au uraiani?

kama yupo uraiani basi mjinga mie, ila kama yupo jela basi mjinga ni wewe na wa kwenu wote

Kumbuka: kuna tofauti kubwa sana kati ya "typing" na real life
Haya ameshalipiwa na kuondoka jela,badili jina la ID yako liambatane na ujinga wako maskini mpanda daladala wewe.
 
Hadi tupige kelele ndio mumlipie

Yaani diwani hadi anawekwa pingu mupo tu mnakula alawanzi?

Gademu!
 
Mnaposema kutukana mnanikumbusha "Wapumbavu na Malofa". Hivi hawa Chadema huwa wanatukanaje? Mbona wengine wanapotukana huwa hatusikii hatua zikichukuliwa???
 
Zilikuwepo Tangu Zamani sema tu Kina JK Walikuwa Dhaifu .

Awamu ya Tatu Wakati wa Mzee Mkapa Hayati Mchungaji Mtikila alishafungwa Mwaka mmoja kwa kosa la Kumtukana Mh. Rais.

Wakati huo huo Wa Mkapa Makamu Mwenykt wa TLP Mh. Leo Lwekama nae alifungwa Gerezani kwa kosa la Kukanyaga hadharani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Utawala huu wa Mzalendo Dr. Magufuli umeamua kurudisha nidhamu mpaka kwny Siasa!

Hujajibu vizuri hoja iliyoulizwa. Sheria hizi huwa haziwahusu wengine, bali Chadema peke yao? kuna mtu aliwaita wenzake "Wapumbavu na Malofa". Naye huyu anaishi Tanzania na anatumia sheria hii hii? Hapo ndipo unafiki unapoanzia.
 
Utawala wa Jk hata Wewe uliweza kumtukana Rais bila hata ya kuulizwa, hao Malofa na Wapumbavu pia ilikuwa wakat wa Jk.

Mbona Mbowe au Mnyika au Katibu wenu hawatukani? Msiapoacha kutukana watu Utawala huu hatoacha kuwaandama Amiri Jeshi .
Anachaguliwa RC unamtumia Sms kuwa utamdhibiti Kama Waarabu wanavyodhibiti Mashoga hivi kweli Wewe na akili zako timamu za nidhamu za kawaida tu unaona sawa?
 
Mkuu, ndicho tunachosema hata sisi wengine. Wanasiasa wote wanatukana. Wewe unatoa mifano ya wale wa upande wa upinzani tu kwa sabababu ya interest zako binafsi. Kuna mifano mingi kutoka upande wa wale wanaohukumu wengine nao kufanya matendo yale yale, lakini hatua kali hazichukuliwi. Hukusikia mtu fulani alimchalaza fimbo mwenzake huko Dodoma? ulisikia kufungwa au kufikishwa kwenye mahakama kama Lijuakali alivyofanywa? Let's stop spinning. Kuna watu wa upande fulani wanafanya matendo mabaya lakini sheria haziwahusu. Sheria hizi kali zinawahusu wale wanaoitwa "wapinzani" zaidi. Si mnasema msema ukweli ni mpenzi wa Mungu? kwa nini sasa mnasema uongo?
 
Kosa lako haliwi halali kwa kuwa na Mpinzani wako huwa anafanya kosa kama lako
 
Back
Top Bottom