Diwani wa Kata ya Iseke(CHADEMA), Emanuel Jingu ahukumiwa kwenda jela miezi mitano

Ss kutukana ni jambo zuri tutalaumu sana serikali tu now watu wanatakiwa kubadilika tufate sheria na tuwe viongozi wa mfano ujinga ujinga umepitwa na wakati now zama damu
Sasa hivi hakuna kuangalia sura
Walizoea kuwa mpinzani ni kutukana hovyo!!
Kick za kijinga mwisho ni 2015
Naona hawaja elewa
 
Hivi nani alieanzisha matusi ndani ya chadema...maana kila kiongozi sasa hivi wa chadema ili utake kujulikana lazima utoe matusi...
 
Jaman chadema ruzuku mnapeleka wapi mnashindwa kumutolea laki tano diwan wenu
 
Diwani wa Kata ya Iseke chadema Mhe Emanuel J.Jingu amehukumiwa na mahakama ya mwanzo-Ikungi chini ya Hakimu Mh Nindi, kwenda jela miezi mitano au faini ya sh 500,000/- kwa kosa la kutukana viongozi wa serikali ya kijiji cha muungano katika kata ya Unyahati wilayani Ikungi wakiwa kwenye kikao cha halmashauri ya kijiji.

Mara Baada ya hukumu Mhe Emanuel J Jingu ameshindwa kulipa faini hivyo amepelekwa magereza Mkoa wa singida kuanza kutumikia adhabu hiyo.

Pamoja na hukumu hiyo Diwani huyo anakabiliwa na kesi nyingine ya kuzuia ukusanyaji wa mapato,kutoa Matusi Hadharani na kumzuia afisa wa serikali kufanya majukumu yake.
Jamani kwa nini kiongozi anafanya makosa ya jinai ya namna hii?
Kuzuia kukusanya kodi?
Kutukana matusi?
Kuna wale wapuuzi wengine wanaotukania matusi bungeni sababu ya immunity...natamani hiyo kinga iondolewe ili wanyooshwe.
Mbunge..Mheshimiwa unatukana matusi bungeni...tena hadharani kwenye kikao rasmi cha kazi...
aibu sana.
 
Bila kuujua mwenendo wa kesi inakuwa shida kutoa maoni.Kama mahakama imeona hivyo basi afungwe tu.
 
Hiyo ndiyo ile njaa ya akili ya watanzania. Mtu moja hawezi akatukana tu bila sababu. Iweje wafungwe tu chadema wakati inajulikana wanafujo wengi wanaolindwa na polisisiem wako wapi.
 
Jamani kwa nini kiongozi anafanya makosa ya jinai ya namna hii?
Kuzuia kukusanya kodi?
Kutukana matusi?
Kuna wale wapuuzi wengine wanaotukania matusi bungeni sababu ya immunity...natamani hiyo kinga iondolewe ili wanyooshwe.
Mbunge..Mheshimiwa unatukana matusi bungeni...tena hadharani kwenye kikao rasmi cha kazi...
aibu sana.

This time watatia akili, Hakuna Cha Bunge wala nini! Mara ya Mwisho kwny mabunge ya Commonwelath kuingizwa Mbwa ilikuwa 1933 lakin chini ya Jasiri wa awamu ya Tano wameingizwa Bungeni kurudisha Nidhamu na tangu Wakati huo nidhamu imerudi!
 
Kesi n kutukana na sio ulifanyiwa nn mpk ukatukana.......... We n mtu mzima hujaona solution yoyote zaidi ya kutukana kweli?????? Hata ungefanyiwa nn kutukana sio suluhisho
Mkapa alipotukana watu " malofa,wapumbavu n.k." alikuwa amekosewa nini au alikuwa mtoto au nusu MTU? Tuambiwe kwanza alivyotukana ndo tujue mbivu na mbichi.
 
Mkapa alipotukana watu " malofa,wapumbavu n.k." alikuwa amekosewa nini au alikuwa mtoto au nusu MTU? Tuambiwe kwanza alivyotukana ndo tujue mbivu na mbichi.
Malofa n masikini
Wapumbavu ni mtu aiseelewa kitu fulani hata kwenye maandiko matakatifu linatumika
 
Asa hapo nan mwenye nguvu anaesindikizwa??? Na me naona chadema xahv wameona viongozi wao wanakua wapumbavu wameamua wawaache tuu waozee jela huez kua mtu mzima unaitukana silikali kama uliiumba wewe
Kwa hiyo nikikuambia wewe mpumbavu utachekelea kwa vile nitakuwa nimeongea kibiblia siyo?
Malofa n masikini
Wapumbavu ni mtu aiseelewa kitu fulani hata kwenye maandiko matakatifu linatumika
 
Jengeni hoja acheni matusi vinginevyo mtaumia nanyie wadodo igeni wakubwa zenu ulishamsikia wapi Mbowe, Mashinji au EL wanatukana kama mnawaona wao wajinga endeleeni nandio maana wanawachaa ili mjifunze lakini mmekuwa wagumu badilikeni familia zenu ndio zenye uchungu na nyie
 
SWALA HAPA SIO SIASA, KWANI HAJAFANYA HILO KOSA KWELI? MBONA CHAMA CHAKE WAPO KIMYA? MPAKA WAMESHINDWA HATA KUMSAIDIA KULIPA FAINI, BILA SHAKA WAMEJUA UKWELI. UTAWALA HUU SIO ULEEEEEEEE, HUU HAUJARIBIWI. BEEP UONE. ACHA MUISOME , MLIDHANI ULE NI WIMBO TU EEEEEEH,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom