Diamond Platnumz akutana na Kanye west

wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee

Tatizo la huyo anaejiita dimond mswahili sana
 
wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee

Mimi binafsi simpendi chai jaba wala sijaona uzuri wa kazi yake
 
collabo ya neyo ndio kaenda ku shoot video yake baada show ya leo. wanaanza kushoot na neyo so usiwe na wasi ya p square inakuja ya mafikizolo mwezi wa 4 ya fally mwezi wa 7 ziko nyingi mnoo
 
So what now? Kama wamekutana ni habari nayo kweli? Waswahili tuna tabu sana.
 
Aisee na Alikiba na yeye yuko serenget,kakutana na tembo
11401014_985078668182271_208259825445501827_n.jpg

Mbavu zangu tuhurumiane wadau tehe tehe!!!!!!!
 
collabo ya neyo ndio kaenda ku shoot video yake baada show ya leo. wanaanza kushoot na neyo so usiwe na wasi ya p square inakuja ya mafikizolo mwezi wa 4 ya fally mwezi wa 7 ziko nyingi mnoo
Akomalie kolabo tu, zake binafsi hawezi
 
Watanzania bana wanavipaga promo vitu vya ajabu ajabu, alafu wakenya wakivipa promo vitu vya maana vya tanzania mnasema wanawaibia, mfano diamond kupiga picha na west kuna kipi cha ajabu hapo mpaka iwe habari? Ukizingatia hapo wamekutana airport tu.
Yeye ndiye kaifanya habari kubwa, sisi tunacomment tu kwa taarifa hiyo kubwa
 
Back
Top Bottom