Diamond Platnumz akutana na Kanye west

Acheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
huyo ni mtanzania wa kawaida asiyejihusisha na sanaa. Kwa mtu kama DIAMOND kukutana na msanii yoyote mkubwa its a big deal because alot can be discussed and you never know how fond the artist can be with diamond. Wanasema hata ddk1 inatosha kumsawishi mtu kitu ni akili tu. SO yeah its news and a very big deal:)
 
Mashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare
zombie ni wewe usiejielewa
kila kitu kinakuja kwa wakati tuliza mshono
kuhusu collable na ne-yo nenda kacheki kwenye page ya diamond ya instagram leo kuona maendeleo
 
Mashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare
Kuhusu neyo jibu ilo hapa
cdcad7698e74a74619849b8f00745a00.jpg

Huyu pemben ya babu tale n manager wa diamond kwa upande wa marekani je unajua kashafanya Kazi na wanamziki wangapi wakubwa Leo hii LA uko
 
Kuhusu neyo jibu ilo hapa
cdcad7698e74a74619849b8f00745a00.jpg

Huyu pemben ya babu tale n manager wa diamond kwa upande wa marekani je unajua kashafanya Kazi na wanamziki wangapi wakubwa Leo hii LA uko
Umeisahau ile picha yupo na Yazz kama unayo ebu itupie bro.
 
Jamani Mbona kupiga picha na celebrity ni vitu vya kawaida...Maana naona Kama imekuwa big deal..
Ukiwa mtu wa kusafiri au kujichanganya lazima utakutana nao tu..
 
hii show ya Las vegas imeendaje naona anapiga picha tu, huko watu wamepinda sana hawakawii kupandisha mizuka.
 
Jamani Mbona kupiga picha na celebrity ni vitu vya kawaida...Maana naona Kama imekuwa big deal..
Ukiwa mtu wa kusafiri au kujichanganya lazima utakutana nao tu..
Ni kawaida kwa wengine Mkuu,ila diamond ni ajabu sana na hapo hawakawii kusema kanye west kaomba kolabo kwa diamond
 
Nilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad

Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land
Na yule jamaa wa msoga alivyokiwa anaenda huko daily
Bado hawajaijua tz
 
Back
Top Bottom