Hilo neno "malengelenge" maana yake ni nini katika kiswahili kilichoandikwa hapo?Kama umesikiliza mwishoni ile ni diplomatic language tu kwa nafasi lazima awe responsible kwenye kauli zake kutoingilia siasa zinazoendelea.
Lakini body language ndio kila kitu hasa akielezea siku za mwisho ilivyokuwa hadi mauti yanamkuta marehemu.
Itakuwa kuna kitu kinamuumiza mpaka leo yale malengelenge ya machozi sio bure na kushindwa kuzuia emotions zake ata kwenye kuongea kwa majonzi ile się tabia ya army general kushindwa kujizuia. Kwa nafasi yake mtu kama yeye kwa kwa nilichokiona ni big deal kiaskari duniani.
Uandikwe ujinga tutulie tu?Akili ndogo mshaingia
👋
Bun-adamu kanyimwa uwezo wa kuijua kesho.Kuna watu mlikuwa mnaona ni bora katiba ipindishwe ili mama asiwe mrithi wa Jpm!! Watanzania tumelogwa na Nani?
CCM wakati wanafanya vetting ya makamo wa raisi hawakuwahi kufikiri Kuna dharula za vifo ambazo zinampa nafasi makamo wa raisi kuwa raisi kamili?
Kwa swala la Loliondo hata yeye amejichafuaKama umesikiliza mwishoni ile ni diplomatic language tu kwa nafasi lazima awe responsible kwenye kauli zake kutoingilia siasa zinazoendelea.
Lakini body language ndio kila kitu hasa akielezea siku za mwisho ilivyokuwa hadi mauti yanamkuta marehemu.
Itakuwa kuna kitu kinamuumiza mpaka leo yale malengelenge ya machozi sio bure na kushindwa kuzuia emotions zake ata kwenye kuongea kwa majonzi ile się tabia ya army general kushindwa kujizuia. Kwa nafasi yake mtu kama yeye kwa kwa nilichokiona ni big deal kiaskari duniani.
Hii ni ishara nchi hii watu wanaongoza Kwa makundi na siyo frame of operations, hali hii inapswa kurekebisha. Ni kama vile tunaishi Kwa hisani za watu. Katiba ndiyo source ya haya yote kwakua at some point inalimbikiza Madaraka Kwa individuals badala ya kuyaweka Kwa public..kiongozi wa kwanza kutaarifiwa kuwa Rais amefariki alipaswa kuwa Makamu wa Rais na sio Waziri Mkuu na Katibu Mkuu Kiongozi.
tumeangali mu Video. Hakuna kitu uneandika ipo humo. use brain mwache kupotosha batanzani.Kuna watu mlikuwa mnaona ni bora katiba ipindishwe ili mama asiwe mrithi wa Jpm!! Watanzania tumelogwa na Nani?
CCM wakati wanafanya vetting ya makamo wa raisi hawakuwahi kufikiri Kuna dharula za vifo ambazo zinampa nafasi makamo wa raisi kuwa raisi kamili?
Hayo machozi mbona sijayaona au nimetazama clip nyingine.
Pia kama binadamu lazima aguswe kwakua alishiriki kwa ukaribu tukio zima.
Haya ndio matatizo ya kuangalia sana filamu inakua sio rahisi kuleta uhalisia.
View attachment 2936820
Hapo akielezea alipopigiwa simu ya mchana kuwa jamaa achomoki kwikwi na chozi juu akaliwahi kufuta.
View: https://m.youtube.com/watch?v=7pAX3f36xOs&pp=ygUkd2h5IGFybXkgZ2VuZXJhbHMgZG9udCBjcnkgaW4gcHVibGlj
Ma-general wakizidiwa sana tear drop tu, kama ukiangalia hiyo video ata huyo US general ni tear drop lakini bado interviewer ameshangaa kidogo general kutoa chozi mpaka kamuuliza kulikoni
Sasa usidhanie general atalia kama Jenista Mhagama mbele ya camera ajiangushe na kujigalalaza kwenye udongo kila mtu amuone.
Huko CCM na serikalini mnajifanya kama amuitambui siku ya leo aina umuhimu wowote kwa taifa.
Shame

If anything tulichojifunza wakati waziri alipoulizwa raisi yuko wapi, marehemu alikuwa hai bado...inaweza kuwa anaigiza kulia.
..pia habari yote inaweza kuwa ya kutunga.
..hujasikia kwamba Jiwe aliuwawa na genge la Msoga baada ya kuwadukua?
..pia hujasikia kwamba alifia nchi jirani ktk hospitali iliyoko maisha ya jamaa aliyemtumia watu wamuue?
Kuna watu mlikuwa mnaona ni bora katiba ipindishwe ili mama asiwe mrithi wa Jpm!! Watanzania tumelogwa na Nani?
CCM wakati wanafanya vetting ya makamo wa raisi hawakuwahi kufikiri Kuna dharula za vifo ambazo zinampa nafasi makamo wa raisi kuwa raisi kamili?
Tuambie wewe nani alipaswa kuwa Mkuu wa Majeshi? Maana Mabeyo wakati JPM anaingia tayari alikuwa ni moja ya makamanda wa ngazi ya juu kabisa jeshini wala si kwa kubebwa na Magufuli!Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui ingegawanyika mara ngapi.
Kweli….si umemsikia hata Jenerali Mabeyo kasema kuwa Rais Magufuli alimwambia [CDF] awaamuru madaktari wamrudishe nyumbani lakini akasema hana mamlaka hayo.Hii ni ishara nchi hii watu wanaongoza Kwa makundi na siyo frame of operations, hali hii inapswa kurekebisha. Ni kama vile tunaishi Kwa hisani za watu. Katiba ndiyo source ya haya yote kwakua at some point inalimbikiza Madaraka Kwa individuals badala ya kuyaweka Kwa public