Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,596
- 10,474
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka hata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je, anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue meża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.