ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,691
- 4,476
Lizaboni toka utapeliwe kiwanja na yule mwanamke wa pale Sinza, umekuwa kama mwehu!
Mkuu ilikusjr? Hshahaha hawara alimzidi ujanja?
Lizaboni toka utapeliwe kiwanja na yule mwanamke wa pale Sinza, umekuwa kama mwehu!
aMbiHahahahahahahaaaaaaaaa! Hata kama anaogelea lazima mtasema kuwa anawatimulia vumbi
Alijichanganya, wa mjini akafanya yake!Mkuu ilikusjr? Hshahaha hawara alimzidi ujanja?
Hata mi nashangaa... Serikali yetu tajiri bwana ndo mana tumesema tutajenga nyumba za wananchi kagera pamoja na miundombinu bila hata kugusa fedha za michango!. We unae sema serikali haina fedha na UKOME!Ipo hoi kivipi? Imepunguza wafanyakazi? Imeshindwa kulipa mishahara? Imeshindwa kutoa huduma muhimu za kijamii? Haitekelezi miradi ya maendeleo? Haikopesheki?
Wewe Ulirithi nini toka kwa wazazi wako au yale majoka ya Songea, Sasa mwenzako yalishamgeuka hayo majokaWadau, amani iwe kwenu.
Kila mtu ana kitu kinachompa power ya kufanya vitu vingine. Wapo wenye nguvu nyingi kiasi cha kuweza kunyanyua vitu vizito. Ni katika nguvu hizo ndizo zinazowasaidia kufanya mambo mengine kama kujenga majumba ya kifahari. Wapo waliojaaliwa vipawa mbalimbali kama michezo nk. George Opong Weah alikuwa mchezaji hodari na mwenye heshima kubwa katika nchi yake ya Liberia. Ni kutokana na umaarufu huo ndipo alipojiingiza kwenye siasa na kugombea Urais.
Freeman Mbowe hana kipawa chochote. Mbaya zaidi hana hata elimu ya kuweza kumnyanyua kutoka daraja moja kwenda jingine. Umaarufu wa Mbowe umetokana na utajiri wa kurithi kutoka kwa wazazi wake. Si utajiri uliotokana na uwezo wake. La hasha. Ni kama kuokota dodo chini ya mchongoma.
Sasa hali yake kiuchumi imeanza kuyumba. Kwa sasa imefikia hatua mbaya sana kiasi cha kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake kwa madai eti anapunguza gharama za uzalishaji. Ubunifu ziro. Cheo cha Managing Director wa Makampuni yake kimemshinda. Hana dira wala mwelekeo. Anasubiri kudura ya Mwenyezi Mungu kufanikisha mambo yake.
Nitoe rai kwa wana CHADEMA wote. Fanyeni harambee kumnusuru Mwenyekiti wenu Mbowe. Jahazi linazama. Kuzama kwa Mbowe kiuchumi maana yake ni kuzama kisiasa pia. Hana kingine kitakachompa power ya kupractice politics kwa ufanisi.
Mkimuacha Mbowe anafilisika kiuchumi maana yake mmekubali kukiondoa chama chenu kwenye ulimwengu wa siasa. Je mpo tayari kushuhudia hayo?
Imeshindwa kuajiriIpo hoi kivipi? Imepunguza wafanyakazi? Imeshindwa kulipa mishahara? Imeshindwa kutoa huduma muhimu za kijamii? Haitekelezi miradi ya maendeleo? Haikopesheki?
Hahahahahahahaaaaaaa! Wafuasi wa Mbowe wana uelea mdogo. Ndo maana nawageuza kama chapatiMkuu Lizaboni nyundo unazompiga huyo bwana wafuasi wake watakuua kwa matusi ingawa ni kweli tupu!! Nikuongezee point moja, kipaji chake kikuu ni "kupiga kabobo"! Ndo maana kaweza kubakia pale hadi leo.
Kumbe Lizaboni upo? Mimi nilijua wewe ndo Peter Kalihose, duh!Wadau, amani iwe kwenu.