CHADEMA fanyeni harambee kumnusuru Freeman Mbowe kisiasa na kiuchumi

Sana, mfuatilie utaekewa
Iko tofauti kati ya "mfanyabiashara maarufu" na "muuza nyanya maarufu" mmoja ni general na mwingine ni specific.Labda ungesema Dj maarufu japo sijawahi kumsikia enzi hizo za kina Kalikali na Saydo!
 
Mbowe atajutia Elimu yake ya Zero
Awamu hii
Mimi nafurahia sana
Kwanza usitoe ushauri kwa mpuuzi
Ili azidishe upuuzi
 
huyu Mbowe kwanza mi nashangaa wangekuwa tayari wameshampandisha mahamakani alipe malimbikizo ya kodi zetu. anapinga ufisadi wakati yeye mwenyewe ni fisadi. " oooh.! nilisahau kama siku hizi ameukubali ufisadi "

Mbowe bana, ukitembea na fisadi Lowasa, na wewe lazima uwe fisadi tuu, ndo kanuni ya maisha hiyo, hakuna ujanja.
Nyie si mnamahakama ya mafisadi sasa si mumpeleke huyo lowassa, khaaa hata mungu anawashangaa
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana kitu kinachompa power ya kufanya vitu vingine. Wapo wenye nguvu nyingi kiasi cha kuweza kunyanyua vitu vizito. Ni katika nguvu hizo ndizo zinazowasaidia kufanya mambo mengine kama kujenga majumba ya kifahari. Wapo waliojaaliwa vipawa mbalimbali kama michezo nk. George Opong Weah alikuwa mchezaji hodari na mwenye heshima kubwa katika nchi yake ya Liberia. Ni kutokana na umaarufu huo ndipo alipojiingiza kwenye siasa na kugombea Urais.

Freeman Mbowe hana kipawa chochote. Mbaya zaidi hana hata elimu ya kuweza kumnyanyua kutoka daraja moja kwenda jingine. Umaarufu wa Mbowe umetokana na utajiri wa kurithi kutoka kwa wazazi wake. Si utajiri uliotokana na uwezo wake. La hasha. Ni kama kuokota dodo chini ya mchongoma.

Sasa hali yake kiuchumi imeanza kuyumba. Kwa sasa imefikia hatua mbaya sana kiasi cha kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake kwa madai eti anapunguza gharama za uzalishaji. Ubunifu ziro. Cheo cha Managing Director wa Makampuni yake kimemshinda. Hana dira wala mwelekeo. Anasubiri kudura ya Mwenyezi Mungu kufanikisha mambo yake.

Nitoe rai kwa wana CHADEMA wote. Fanyeni harambee kumnusuru Mwenyekiti wenu Mbowe. Jahazi linazama. Kuzama kwa Mbowe kiuchumi maana yake ni kuzama kisiasa pia. Hana kingine kitakachompa power ya kupractice politics kwa ufanisi.

Mkimuacha Mbowe anafilisika kiuchumi maana yake mmekubali kukiondoa chama chenu kwenye ulimwengu wa siasa. Je mpo tayari kushuhudia hayo?

harambee za michango ya kagera zimeenda wap tuanzie hapo kwanza
 
Yani mbowe kwanza hanaongozwa na Mungu kisiasa na kiuchumi na ndio mana boss wenu wa lumumba hanaangaika nae kumwangusha hanashindwa pamoja na kuwatumia nyie vijakazi wake bado mmechemka na mtahendelea kuchemka mbowe ni halfa na umega mashetani wote nyie wa lumumba mtashindwa tu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana kitu kinachompa power ya kufanya vitu vingine. Wapo wenye nguvu nyingi kiasi cha kuweza kunyanyua vitu vizito. Ni katika nguvu hizo ndizo zinazowasaidia kufanya mambo mengine kama kujenga majumba ya kifahari. Wapo waliojaaliwa vipawa mbalimbali kama michezo nk. George Opong Weah alikuwa mchezaji hodari na mwenye heshima kubwa katika nchi yake ya Liberia. Ni kutokana na umaarufu huo ndipo alipojiingiza kwenye siasa na kugombea Urais.

Freeman Mbowe hana kipawa chochote. Mbaya zaidi hana hata elimu ya kuweza kumnyanyua kutoka daraja moja kwenda jingine. Umaarufu wa Mbowe umetokana na utajiri wa kurithi kutoka kwa wazazi wake. Si utajiri uliotokana na uwezo wake. La hasha. Ni kama kuokota dodo chini ya mchongoma.

Sasa hali yake kiuchumi imeanza kuyumba. Kwa sasa imefikia hatua mbaya sana kiasi cha kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake kwa madai eti anapunguza gharama za uzalishaji. Ubunifu ziro. Cheo cha Managing Director wa Makampuni yake kimemshinda. Hana dira wala mwelekeo. Anasubiri kudura ya Mwenyezi Mungu kufanikisha mambo yake.

Nitoe rai kwa wana CHADEMA wote. Fanyeni harambee kumnusuru Mwenyekiti wenu Mbowe. Jahazi linazama. Kuzama kwa Mbowe kiuchumi maana yake ni kuzama kisiasa pia. Hana kingine kitakachompa power ya kupractice politics kwa ufanisi.

Mkimuacha Mbowe anafilisika kiuchumi maana yake mmekubali kukiondoa chama chenu kwenye ulimwengu wa siasa. Je mpo tayari kushuhudia hayo?

Mtu mzima kabisa unakaa kufuatilia mambo ya mtu mwingine. Ni upunguani. Makampuni makubwa dunian upunguza wafanyakazi sasa tatizo nn kwa mbowe.
 
Lowasa aliwahi kusema, chama changu CCM hakiandai vijana yakinifu, Bali kinaandaa vijana wapayukaji tu:
Sasa Liziboni mwenyewe ulitwambia Mbowe kapewa Billion 10 na Lowasa mara CHAMA kakiuza billion kumi, Mimi nilitegemea Leo useme Mbowe anatumbua mabilion ya Lowasa, Sasa vipi?, Sikuelewi?
 
Hivi Mbowe amelipa ile bilioni 1 anayodaiwa na NHC au anasubiri ruzuku ya chama apunguze deni kidogo kidogo?
 
"Ukitaka kuwa muongo mzuri,jaribu kuwa na kumbukumbu nzuri"
Mimi nilitengemea taarifa yako Liziboni kuhusiana na Mbowe ingekuwa ni taarifa ya mchanganuo wa namna gani Mbowe anavyotumia pesa uliyodai amepewa na Lowasa Cha ajabu hujatuambia, hujawahi kutuambia pesa zile zimeenda wapi?, Leo tena Mbowe hali mbaya kiuchumi!!!, Where are ten billion again?, Sikuelewi nieleweshe mkuu!!!, napata wakati mgumu na post zako zinakosa legitimacy kwa sababu hazina ushirikiano!!!, ten billion to poor man how?
Pesa & politics it's OK!, but pesa & quality of politicians isn't OK!,
"Liziboni kabla hujatangazia umma kufilisika kwa mbowe, tuchanganulie kwanza matumizi ya pesa ulizodai amepewa na Lowasa.
 
Kiuhalisia mbowe ameyumba kiuchumi.. Sasa ninajiuliza kweli alikua halipi madeni Nhc .. Au nivisasa vya mbogamboga alimalufu.. magamba ccm.nakama alikuwa halipi kodi basi nihakhi Nhc kudai madeni yao lkn tulichunguze hili jambo kwa umakini mukubwa bila ushabiki wa vyama..
 
Isije ikawa nimbinu ya kuuwa upinzani ndani ya nchi hii maana viongozi wa afrika wanatamaa. na hawataki kuachia madalaka.. Hapa kwetu kuna chama kimoja kimejifanya kuwa ndicho chenye hati miriki ya utawala wa nchi hii.
 
Kiuhalisia mbowe ameyumba kiuchumi.. Sasa ninajiuliza kweli alikua halipi madeni Nhc .. Au nivisasa vya mbogamboga alimalufu.. magamba ccm.nakama alikuwa halipi kodi basi nihakhi Nhc kudai madeni yao lkn tulichunguze hili jambo kwa umakini mukubwa bila ushabiki wa vyama..
Kuonesha kama ni kweli anadaiwa ni kwamba alipofungashwa virago na NHC, Mbowe alikwenda mahakamani kuzuia NHC isiendelee kuhamisha vyombo vyake eti hadaiwi na jengo lile ni lake, lakini alishindwa mahakamani na kuamriwa alipe deni hilo.

Hakurudi tena mahakamani hadi leo, kimyaaaa na Kibatala wake.
 
Back
Top Bottom