chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Binafsi nimechefuka, ishu ya kodi, bodaboda wananyanyashwa na trafic kuhusu bima, huku wakimuacha mbowe anatembea mtaani na billions za umma. Inatia hasirahuyu Mbowe kwanza mi nashangaa wangekuwa tayari wameshampandisha mahamakani alipe malimbikizo ya kodi zetu. anapinga ufisadi wakati yeye mwenyewe ni fisadi. " oooh.! nilisahau kama siku hizi ameukubali ufisadi "
Mbowe bana, ukitembea na fisadi Lowasa, na wewe lazima uwe fisadi tuu, ndo kanuni ya maisha hiyo, hakuna ujanja.