Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
hapa una hoja ingine zaidi ya udini, umetumwa kuhakikisha udini na ukabila unakuwa chanzo ha kuwagawa watanzania kwa msisitizo wa hali juu. Sentensi yako ya mwisho inadhihirisha hilo. Wewe ni mnafiki na mchochezi wa hali ya juu. Ni mtu hatari katika jamii (samahani kwa lugha hii). Unajua na ni wewe ndiye ulituambia habari za albert, na jinsi alivyohusika na suala hili. Sasa iweje usimshikie albert na hao wahadhiri wa kiislamu kama individuals, na umetilia mkazo zaidi waislamu (as bolded red above). Acha unafiki, kuna unachokipika hapa na unakijua fika deep down in your heart.
Sijui undani wake kwa sababu wewe ndio unajua undani wake; na umeuficha huo undani. Hapa umeweka habari ambayo ni kiini macho, na mie nimesoma habari ambayo in one way or another imetoka kwako. Kwa hiyo sina undani wowote zaidi ya uliowekwa hapa.
Was that press conference au ni mkutano tu? Naomba unieleweshe maana ya press conference. Kama ilikuwa inalindwa na polisi wenye silaha...inakuwaje video na sauti zikanaswa? Wakati huo huo na picha mgando zikakosekana? Kama zipo iwekwe hapa hata moja vinginevyo sitachoka kuona unafiki na uchochezi wako. Kwa nini nisibishe kuwa jeetu na baadhi ya watuhumiwa wa epa wako mahabusu?
Sina upeo mkubwa na hapa sina kazi maalum zaidi ya kusoma dataz zinazomwagwa hapa.
If you want me to be fair, you have to be fair first. Nevertheless rudia mabandiko yako.
Halisi, nakutakia kazi njema.