Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,681
- 119,317
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.
Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.
Na kufuatia kuibuka kwa kada ya uchawa, huu uchawa umekuwa ukifanywa kwenye medani za siasa na machawa mara nyingi ni watu wa kawaida tuu, ma mediocre na uchawa wenyewe ni mediocrity lakini sasa uchawa umekubuhu, kumeibuka kundi la wanasheria machawa, wanaotetea madudu ya ajabu ya kisheria!.
Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza machawa wa kisheria kujitetea hii IGA ya ajabu ya DPW na Bandari zetu!, lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga hii IGA.
Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
Paskali.

- Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
- Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!. Hivyo msitegemee kama serikali yetu au Bunge letu Tukufu litajitokeza na kukiri makosa ya hii IGA!.
- Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
- Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, nilichofanya ni kuonyesha makosa na matundu ya mahali panapovuja. Ni jukumu la mwenye nyumba wetu kuziba hayo matundu, ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
- Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuipinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
- Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita ni fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
- Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia an international treaties with a legal person who has no capacity to contract. Hoja hii haijajibiwa popote, TLS wameikwepa, naomba hoja hii ijibiwe kikamilifu
- Wakati nikiendelea kusubiria majibu ya kisheria kwa hoja zangu zakisheria kuhusu hii IGA, kwasababu imeleta maneno maneno na kelele nyingi, nashauri uwepo wa transparency kubwa kabisa kwenye HGA ya Bandari ili mambo kama ya IGA ya Bandari na DPW yasije yakajirudia kwenye HGA.
- Naomba nimalizie kwa kuzungumzia kidogo kitu kinachoitwa karma, licha ya kelele zote zinazopigwa kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari, Bunge limeziba masikio kwa Mkuu wa mhimili huu kutoa kauli za kujimwambafai, wakati serikali iko kimya bila kujibu hoja za kisheria zilizoibuliwa na watu na makundi mbalimbali wakiwemo TLS, naliomba Bunge na serikali yetu kujibu hoja, huku nikiiomba Mahakama kutenda haki.
- Serikali yetu, Bunge letu na Mahakama zetu zina wajibu wa kuwatendea haki Watanzania, wajibu huo sio favour, ni right, yaani sio hisani, ni wajibu. Natoa wito kwa Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama yetu, hata kwenye hili la DPW na serikali yetu, Watanzania tutendewe haki, na Watanzania tusipowatendewa haki na vyombo hivi, the karma will do!.
Paskali.