Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

Haya kama kunakupumzika apumzike kwa amani. Mungu amtie nguvu mama yake. Wakati mwingine binadamu anajikuta kwenye wakati mgumu sana mpaka haoni thamani ya maisha.
 
Kweli kabisa kukaa na mambo moyoni bila ya kumshirikisha mtu matokeo ni kufanya maamuzi ya kipekee
Kwenye elimu ya saikolojia Daata kuna watu wa aina mbili extrovert-wawazi sana hawakai na kitu rohoni na introvert-hawa ni watu wa kuweka vitu rohoni na si wapayukaji, wanaheshimika sana lakini huishi vifo vya namna hii
 
Hiyo lodge nilifikia hapo mwezi huu na nilikaa wiki nzima.Aisee sijui nini kimemfika huyu dada.R.I.P
 
Madeni yenyewe tsh 33,000/= Memory card sijui zitamsaidia vipi mama yake.
 
kama ni kwa mapenzi ya binadamu Mungu atakulipia, na kama ni kwa Mapenzi ya Mungu naam na jina lake libarikiwe kweni yeye ndiye mwanzo na mwisho..

R.I.P
 
Back
Top Bottom