Behind the curtain: September 11

Mkuu The Bold shukrani sana kwa bandiko hili.....nikiri tu kuwa kila nikimaliza kusoma mabandiko yako hasa ugaidi na ujasusi,huwa nawaza sana juu akili za hawa watu, nikama wote wana akili sawa ila tifauti ni kuwa mmoja anaelekea mashariki mwingine magharibi.......shukrani sana Chief.
 
Ukiiusoma ulimwengu wa sasa na phase zake itakubidi uwe deep sana, Kuna huyu jamaa anaitwa RIK MAYALL, sasa ni marehemu, uyu jamaa alikufa Kwa kujaribu ku expose 9/11 na ile ya Landon booming, ningekuona mjanja kama ungekua unawaletea watu habari za Geoengineering uzi wako hauna mashiko, kama bado una angaika na makundi feki yakigaidi ambayo si ya kweli na unayatengenezea bado headlines, wewe unasoma soma ili uje kudanganya watu au unatengeneza mazingira ya icho unachokiandika??

Angalia iyo picha then endelea kutudanganya..​
hujalazimishwa kusoma mkuu....amini unachokiamini.....taarifa inapokelewa,inachujwa kisha inachambuliwa....embu na wewe weka unachokifahamu......sio kumdis mtu mwingine...
 
HIII VIDEO ANAYEONGEA SIO MBONGO MWENZETU, YEYE NI MTU WA MASWALA YA KI DIPLOMASIA MWENYE MUONGOZO NA MITAZAMO AKINIFU JUU YA SHETANI NA VISA VYAKE, PANUA WIGO WAKO NA UWATAMBUE MA MASTERMIND WA HIZI KAZI, UMWANGALIE THEN TWENDE SAWA USIWE MZIGO KAMA HUJAANGALIA HII VIDEO, TIZAMA NA WEWE ULETE MAONA YAKO,


Unaonaje ukianzisha thread yako ukaja na another version ya hii story ukaanza kabisa na Oklahoma city bombing ambayo ilikuja ku pave way for sept 11.
Maana e bold yeye akaongelea what we people take as reliable sources zinavyosema, hajataka kuleta stories from conspiracy theories.
So ni jambo la kushangaza wewe kumtaka aje na hizo story kama waona ni nzuri anzisha thread zako hata mimi mwenyewe nimesoma sana hizo theories na nimetazama mpaka video lakini siwezi kuja hapa nikapinga alichokiandika maana that is what the world was told.
It might be true or not true lakini itakuwa vizuri kuanzisha thread yako.
 
we no longer in conspiracy myth my brother, msikilize putin the man with his balls,
elmagnifico

wee jamaa hata huelewi, yawezekana unayoyasema ni kweli kwa upande mwingine na sisi hatupingi ila tunataka kwanza the bold atupe kile ambacho ulimwengu umeambiwa kuhusu sept 11 then akimaliza tuanze sasa kuchambua other conspiracy theories kuhusu sept 11,huitaji kuharibu kile kilichoanzishwa na mwenzako, mwache amalize maana pia upo uwezekano akaongelea na hizo theories nyingine unazotaka tuzione.
 
Umeanza tabia ya SHIGONGO na magazeti yake ya ijumaa...humalizi stori...ili uendeleee kula muda wetu..kwani ni TAMTHILIA HII?. Licha ya kutusaidia kwa kuyakusanya matukio pamoja..ila sasa umeanza kula muda wetu..au tupe link /translation source tusome wenyewe...Au sasa tutanza kuona kama unaboa....pia hii inaonyesha umeanza kuishiwa matukio...unaanza kuketa series. Hii mbinu hiache itakupunguzia wafuasi. Maliza stori ..ulete ingine maana ziko nyingi duniani...HATA HIVYO NAKUSHUKURU kwa kutenga muda wako !.
 
Umeanza tabia ya SHIGONGO na magazeti yake ya ijumaa...humalizi stori...ili uendeleee kula muda wetu..kwani ni TAMTHILIA HII?. Licha ya kutusaidia kwa kuyakusanya matukio pamoja..ila sasa umeanza kula muda wetu..au tupe link /translation source tusome wenyewe...Au sasa tutanza kuona kama unaboa....pia hii inaonyesha umeanza kuishiwa matukio...unaanza kuketa series. Hii mbinu hiache itakupunguzia wafuasi. Maliza stori ..ulete ingine maana ziko nyingi duniani...HATA HIVYO NAKUSHUKURU kwa kutenga muda wako !.
Mkuu njia rahisi ya kuepuka kusubiri ni kuacha mpaka story yote iishe ndio unakuja kuisoma yote. Au kama huwezi kusubiri unaweza kumuunga mkono kule kwenye group lake la Whatsapp kwa ku'subscribe' kwa ada nafuu tu. Hapo utakua umeepukana with what you call 'mambo ya Eric Shigongo'. Vingenevyo hii post yako inamkatisha tamaa.
 
Back
Top Bottom