Behind the curtain: September 11

HIII VIDEO ANAYEONGEA SIO MBONGO MWENZETU, YEYE NI MTU WA MASWALA YA KI DIPLOMASIA MWENYE MUONGOZO NA MITAZAMO AKINIFU JUU YA SHETANI NA VISA VYAKE, PANUA WIGO WAKO NA UWATAMBUE MA MASTERMIND WA HIZI KAZI, UMWANGALIE THEN TWENDE SAWA USIWE MZIGO KAMA HUJAANGALIA HII VIDEO, TIZAMA NA WEWE ULETE MAONA YAKO,

babuu tu Toa hiyo video kwenye uzi huu na anzisha mada yako. Usituchanganye huyu mtoa ujumbe kwenye hiyo video anajaribu kutuambia kuwa Israel ndio master mind wa 9/11 kitu ambacho kingejulikana tu, intelligensia ya sasa sio ya kudharau. Uhasama wenu na Israel msijaribu kupakazia mambo usiyokuwa na evidance ya uhakika. Ni sawa na vita vya madawa halafu mtu anaingiza matakwa yake ya kisiasa, anachanganya watu mazima ili mradi ajenda zake zifanikiwe.
 
ngoja tudownload
 
Kwa kifupi inaonyesha ni kiasi gani shetani ibilisi mlaaniwa anavyoweza kuwadanganya watu eti kuua wenzao ambao hata hawafahamu eti wanamtumikia Mungu. Na kwa vile watu hawamjui Mungu wanayemtumikia basi wanakubaliana na ibilisi na kuamua kijiua kwa usemi wamejitoa mhanga kumtumikia mungu. Hakuna mungu anayetumikiwa vile isipokuwa yule mungu anayahubiriwa na ibilisi.
 
babuu tu Toa hiyo video kwenye uzi huu na anzisha mada yako. Usituchanganye huyu mtoa ujumbe kwenye hiyo video anajaribu kutuambia kuwa Israel ndio master mind wa 9/11 kitu ambacho kingejulikana tu, intelligensia ya sasa sio ya kudharau. Uhasama wenu na Israel msijaribu kupakazia mambo usiyokuwa na evidance ya uhakika. Ni sawa na vita vya madawa halafu mtu anaingiza matakwa yake ya kisiasa, anachanganya watu mazima ili mradi ajenda zake zifanikiwe.

UMEMSKIA VIZURI UYO MCHAMBUZI AU KICHEFU CHEFU CHA KUTAPIKA MANENO YAKO KILIKUSHIKA SASA UMEAMUA KUTAPIKA, MBONA UJAMSKIA ALIVYO SEMA KUHUSU MTU ALIYEIBIWA PASPORT KWENYE HILO TUKIO NA AKA JITOKEZA KUSEMA KUA HAJAFA NA PASSPORT YAKE IILIIBIWA NA KUWEKWA KATI YA HIZO NDEGE ZILIZODONDOKA, UNAKIMBILIA ISRAEL NANI KAKUPELEKA HUKO, UMEPEWA MWANGAZA NENDA ATA KA GOOGLE UJUE NI KWELI AU LAA, UNATAKA HII VIDEO NIFUTE ILI IWEJE, WATU WAENDELEE KUKECHI? TULIA,​
 
Anzisha uzi wako wadau wachangie, mana humo KWENYE VIDEO kuna hoja nyingine ambayo hii ya 9/11 imepachikwa tu na uelekeo wake sio wa huyu aliye kwenye uzi huu. Mbona huelewi, usichanganye mada. Embu fafanua basi kama vinaendana na kile unachoshabikia wewe katika uzi huu. Kama kuibiwa passport ndio unataka kuhalalisha nini? Tunajua nani aliiba au propaganda tu! Usitoe video ukaiacha hewani bila ufafanuzi wako. Umeona mwenzio anavyotiririka kwenye mada yake.
SASA NASEMA KWA HERUFI KUBWA ANZISHA UZI WAKO NA WEWE TIRIRIKA KIVYAKO TUKUELEWE.
 
Anzisha uzi wako wadau wachangie, mana humo KWENYE VIDEO kuna hoja nyingine ambayo hii ya 9/11 imepachikwa tu na uelekeo wake sio wa huyu aliye kwenye uzi huu. Mbona huelewi, usichanganye mada. Embe fafanua basi kama vinaendana na kile unachoshabikia wewe katika uzi huu. Kama kuibiwa passport ndio unataka kuhalalisha nini? Tunajua nani aliiba au propaganda tu! Usitoe video ukaiacha hewani bila ufafanuzi wako. Umeona mwenzio anavyotiririka kwenye mada yake.
SASA NASEMA KWA HERUFI KUBWA ANZISHA UZI WAKO NA WEWE TIRIRIKA KIVYAKO TUKUELEWE.
Achana naye Huyo utajichosha tu.
Maana anaongea maluhani tu Hana la Maana..
 
Ukiiusoma ulimwengu wa sasa na phase zake itakubidi uwe deep sana, Kuna huyu jamaa anaitwa RIK MAYALL, sasa ni marehemu, uyu jamaa alikufa Kwa kujaribu ku expose 9/11 na ile ya Landon booming, ningekuona mjanja kama ungekua unawaletea watu habari za Geoengineering uzi wako hauna mashiko, kama bado una angaika na makundi feki yakigaidi ambayo si ya kweli na unayatengenezea bado headlines, wewe unasoma soma ili uje kudanganya watu au unatengeneza mazingira ya icho unachokiandika??

Angalia iyo picha then endelea kutudanganya..​
Ungekomaa mkuu kuleta inachojua maana hakuna alipo andika kuwa.huu ndio ukweli halisia tusio hata uongo tunashukuru tunapata mwanga

Kama vipi nawe tupia dodoso zako humu utakuwa umefanya la maana
Tupia uzi wako

I mean usihalibu huu
 
Back
Top Bottom