Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Inaonekana ulikuwa mpango wa mda mrefu kutafuta kuhalalisha mission za kupambana na ugaidi duniani ambapo lengo ni kuiba mali na kupandikiza mambo yaoHaya yote nani aliyatoa hadharani ilihali ilikua kama siri ya watu walioshiriki iyo mission tu.
Wakati mashirika mengine ya kijasusi duniani yalikuwa yanapata taarifa hizi za mipango na kuwatonya wamarekani kwa wema kumbe wenzao wanajua na wako kwenye mission maalumu ndio maana wakawa wanapuuzia