BalimiI/kirkuu a.k.a fastjet bei ndogo majibu fastaa

Kuna miaka nikiwa advance kule..kuna vitu vilikuwa vinaitwa double punch

Baadae zikaja lyder,boss,master nk

Sh 200 kwa kiroba,hakika tulikuwa tunajimaliza sanaa

Maisha ya shule nayoo
Mkuu vijijini bado zipo hizo. Ni mwendo wa kuchoma maini tu
 
Mimi ni muonjaji wa pombe, ila nashindwaga tuu kuendana na uchungu wake. Hivi hii changamoto ya uchungu huwa mnaitatuaje.? Maana dah, mwaka wa 10 huu unaenda, ila sijawahigi kuuzoea uchungu wa bia.

Matokeo yake nimejikuta muumini sana wa wine.
Bia chungu kwa mwanafunzi kwa mkongwe bia tamu kuzidi asali
 
Mimi ni muonjaji wa pombe, ila nashindwaga tuu kuendana na uchungu wake. Hivi hii changamoto ya uchungu huwa mnaitatuaje.? Maana dah, mwaka wa 10 huu unaenda, ila sijawahigi kuuzoea uchungu wa bia.

Matokeo yake nimejikuta muumini sana wa wine.
Hata mimi nimeachana na bia nichungu sana zikipoa baridi kingine zinachafua tumbo bora unywe vinywaji vya kigeni vyenye alcohol kubwa 40 kulibo mibia ukizingatia mifriji mibovu bia inakuwa ya baridi kidogo kinywa nusu ishapoa unaanza kusikia uchungu
 
Achen dharau
Bia gan nichungu??

Hakuna bia chungu
 
Back
Top Bottom