zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,704
- Thread starter
- #61
Eagle ,senator na bingwa hizo bia hadhi mojaKuna kitu kinaitwa Eagle
Ni kwikwi
Hata km mna mbau mfukon kampan ya watu wanne inatosha sana tu
Ila hii FASTJET ina hadhi ya castre lager ,safar nk alafu uzur zaid hii inamajibu fastaa kuliko kawaida
Ukiwa na 20 alane inatosha sana na.unabakiwa na change wakat castre lager lazima uwe na kama 30
Alafuu hii haina trip za toilet sana kama vyesto lager sijui sababu nn??
Mie nikiwa na show fup napiga JIZEE LA UPAKO 750mil
Ila kama show ni ndefuu basi FASTJET Muhusikoni
Hizo eagle mkuu siziwezi kabisa naamkaga na hangover moj tata sanaa,n eagle kuna yakupima pia