zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,477
- 1,696
- Thread starter
- #81
Zilikuwa zinadhaulika hasa huko ziliko anzia walikuwa wanakunywa wakulima tuubalimi saaafi saaana yani..mwanzo nilikua naziponda saana lakin kuna siku zilinifanyia mazuri ikabidi ninipe heshima yake ila bado najishtukia yani lazima ni chane ile brand yake kwanza ...