Bajeti 2017/2018: Ukweli kuhusu kiasi kilichoongezwa kwa lita baada ya road licence kuondolewa

Pole mkuu,wewe ni kama mimi,nimelipa wiki iliopita,kinachoniuma zaidi nilikamatwa na traffic mara mbili kabla ya kulipa nikalipa na faini...
Naomba unieleweshe ndugu...nategemea kununua pikipiki wiki ijayo je zaidi ya gharama za manunuzi kitu gani kingine lazima nilipe...piki piki ni mpya .... Maana nasoma huu uzi nabaki njia panda
 
Magari mengi yakirudi road unywaji wa mafuta utakuwa mwingi, hivyo kodi nyingi itapatikana kuliko huko yalikokuwa yamepak hayaonekani! Hii bajet ni the best. Magu namvulia cape
Apa Mh. Magufuli mjanja anataka kuongeza mapato sana. Kwa sababu hayo magari mabovu yakirudi barabara yanakutana na traffic na yanapigwa faini ya hatari sana.
Kwa sababu kwa maisha ya mjini Gari bovu uwezi kuendesha labda kama unataka kutoa mtaji kwa askari polisi. Kwa mikoani watu wengi ndio wanatumia magari mabovu katika shughuli za kilimo sasa apo ndio yatalipa bila kupenda.
Sema mwenye mchanganuo wa bei na kodi zote zinazochajiwa katika mafuta angetusaidia apa na kujua mpaka mtu wa reja reja anakuja kununua na kuuza anapata asilimia ngapi kwa litre
 
Naomba unieleweshe ndugu...nategemea kununua pikipiki wiki ijayo je zaidi ya gharama za manunuzi kitu gani kingine lazima nilipe...piki piki ni mpya .... Maana nasoma huu uzi nabaki njia panda
Sina uhakika sana na hili nadhani hapo utatakiwa kulipia bima ila pia kama itakuwa ni ya biashara kutakuwa kuna malipo mengine.
 
Naomba unieleweshe ndugu...nategemea kununua pikipiki wiki ijayo je zaidi ya gharama za manunuzi kitu gani kingine lazima nilipe...piki piki ni mpya .... Maana nasoma huu uzi nabaki njia panda
Nataja vichache mwingine ataongezea
1. Unalipia Plate number kama ni mpya
2. Road License kama ni mpya au kama kwa mtu iyo ulipi tena
3. Insurance (bima)
4. Stika ya nenda kwa usalama
5. Mapato ya TRA
Kama kuna kukosolewa nakaribisha
 
Asante...je unaweza kunisaidia gharama za kuweka plate number yenye jina....kwenye piki piki
 
Bora umeweka hapa mkuu maana watu wanalopoka tuuh mara ooh inaongezeka 300 mara ohh inaongezeka 400 wakati hata hotuba hawajaisoma.
 
Hii ni vita binafsi? Kwanini usiwahoji waliopitisha hio sheria ya Magufuli asilipe kodi? Au yeye Magufuli ndio kaamua 'silipi kodi'?
Kuhoji nayo ni kazi kama hujui!!!!

Nitatimiza wajibu wangu wa kukwepa kulipa kodi na role model wangu ni magufuli.
 
Hahaha.. Kwaiyo road licence inakuwa kama luku.. Wese likiisha na road licence imekwisha mwenyewe unapaki gari bila kuwaza fine..
 
Nimeona mitandao ya kijamii inapotosha hasa kwenye ukurasa wa UKUTA.
Upotoshaji: Kuna ongezeko la shilingi 300 kwa kila lita. UKUTA

USAHIHI: Kuna ongezeko la shilingi 40 kwa kila lita soma kipande cha hotuba ya Waziri hapo chini.
Jiridhishe kwa kusoma Hotuba ya Waziri sehemu ya 69(ii)
Myatake: Tunapotosha ili iweje?

View attachment 521534
kwa hiyo kama ongezeko 40 kwa lita.mbona pesa ni nyingi ukilinganisha na malipo ya motor ve.mf daladala ya dar mlandizi kwa siku lita 50.inatumia weka tsh 40 x 50. ukizidisha kwa mwezi utapata jibu hii itakula kwa abiria
 
Ukweli kuna unafuu mkubwa mfanio kwangu mimi natumia lita 60 kwa mwezi (TZA 120,000) ina maana road license ni TZS 40 x 60 x12 = 28,800 badala ya TZS 200,000. Hata hivyo napata shida kwani nililipia road license 29/5/2017 ambayo itaisha 28/5/2018 hivyo kwangu mimi imekula.

Kuna uwezekano vile vile wa magari mabovu yaliyopaki muda mrefu kurudi barabarani na hii itaongeza ajali za barabarani.

Sasa wewe unaongelea kagari kako hako kanakokusaidia kutoka nyumbani kwako kwenda kazini ukiwa na mkeo ama mumeo ?

Vipi wale wanaotumia lita 1,000 na kuendelea ?

Na unadhani kuongezwa Tshs. 40/= kwa kila lita ya petrol/diesel/kerosene ni ndogo sana siyo ?

Unatambua madhara yake kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja hasa wasio na kagari kama wewe hasa walala hoi 75% wa vijijini wanaotumia usafiri wa umma (public transport)?

In my opinion, hii kitu ni furaha kwa wachache sana Lakini kilio na kusaga meno kwa wengi !!!
 
Tumeondoa VAT kwenye usafiri wa "Transit goods" tutafidia hapa
 
Possible. Itasaidia watu kama yeye. Ila ndugu zangu wa daladala,buses za mikoani na malori cha moto watakiona.
wao daladala na mabasi ni haki yao kulipia sababu wanafanya biashara na gari inaingiza mapato lakini kwa mimi ambaye natumia kama kiraisishi cha kazi zangu kunifikisha sehemu usika kwa muda takwa sio inshu. imeokoa sana kwa wale wenzangu na mimi ambao tulikuwa tunajua trafik wamekaa wapi na kubuni njia za panya za kuwakwepa kisa tu motor vehicle imeisha tumeokota dodo chini ya mwalovera maana road linces ilikiwa chungu mnoo
 
Kabisa kabisa. Traffic walikuwa wanaboa sana
 
Tumeondoa VAT kwenye usafiri wa "Transit goods" tutafidia hapa

Kisha ushuru huo mkautupia kwenye petrol/diesel/mafuta ya taa siyo ili kufidia ?

Mimi labda ningeona vyanzo vipya kabisa vya mapato huku kodi za bidhaa zenye multiplier effects kama mafuta nk zikipungua , ningesema na kukubali kwamba..... yes, we are moving foward na nafuu ipo....!!

Lakini kwa mtindo huu, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kwamba ni kuhamisha hiki mkono wa kushoto kwenda mkono wa kulia huku tukiaminishwa kimetupwa....
 
Hakuna unafuu kaka itaongeza matatizo lukuki, tatizo kila mtu anajipigia hesabu yeye mnasahau vyombo vya usafirishaji,
Huo ugali ambao haushikiki kwa sasa Siku zijazo utapaa kabisa,
Nauli za mabasi zitaongezeka Mara dufu mtu wa hali ya chini ameshapigwa chini hapo,
Kweli kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
Unapenda kula eeh?
 
Back
Top Bottom