Mrembo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 415
- 218
Haya Sasa zidisha iyo 28,800 x12 ndio upate gharama halisi. But anyway binafsi nimeipenda hii mpya, maana hata nikiacha gari kwa mda mrefu sitakuwa na shaka ya maddeni yasiyolipikaUkweli kuna unafuu mkubwa mfanio kwangu mimi natumia lita 60 kwa mwezi (TZA 120,000) ina maana road license ni TZS 40 x 60 x12 = 28,800 badala ya TZS 200,000. Hata hivyo napata shida kwani nililipia road license 29/5/2017 ambayo itaisha 28/5/2018 hivyo kwangu mimi imekula.
Kuna uwezekano vile vile wa magari mabovu yaliyopaki muda mrefu kurudi barabarani na hii itaongeza ajali za barabarani.