Bado sijapata mume wa familia

Hiyo dhan ya vijana wanasumbua umejijengea kichwan mwako au labda kwa kuwa ulikuwa na kijana akakusumbua ukahisi wote wako hivyo BUT believe me or not kuwa na umri mkubwa sio kukomaa kiakili na kifikra ila jitahidi kupata mtu aliye serious anayejielewa vinginevyo usawa huu watakuchezea sana kwa kuwa unaonyesha uhitaji sana wa ndoa
asantye kwa ushauri nitapunguza umri
 
Una mtoto au hujabahatika kupata hata mtoto?
Kama una mtoto, uliyezaa naaye yuko wapi?
 
Back
Top Bottom