Bado sijapata mume wa familia

Upo tayari pia kuwa hata bi mdogo?
Baba yangu anampango wa kuongeza mke wa pili.
 
Mnachagua sana, tena bahati mbaya wakati mwingine uchaguzi muufanyao reference zenu ni tabia mbaya zenu
 
Kwani ulikuwa wapi Muda wote huo?

Yaani nyie ndo mnaogawa weeeeeeee then ikitepeta ndo mnashtuka.

Aaaäa... Anyway
Mkuu umetumia maneno ya kuudhi ujue, Africa wanawake wana utamaduni kusubiri kuchumbiwa. Dada amesubiri sasa ameona aseme asikike, kosa liko wapi?
 
Mkuu umetumia maneno ya kuudhi ujue, Africa wanawake wana utamaduni kusubiri kuchumbiwa. Dada amesubiri sasa ameona aseme asikike, kosa liko wapi?
35 years?????

Huwa wanaringa sana hasa wakianza kuchanua chanua.
Huwa wanadhani uzuri wao utadumu milele.

Hata huyu utakuta alikuwa na vimaringo kibao.

Utasikia wewe si chaguo langu.....Nina mchumba, we hatutaishi n.k
 
It was joke but mara nyingi wanawake wakifikia menopause mambo ya sex wanapunguza sana na wengine huacha kabisa kutokana na hormone level kudrop hivyo hamu nako hupungua gradually
Wanawake wakifika menopause wana hisia kama mwanamke yeyote isipokuwa wanakosa ile hisia sumbufu inayowakuta wanawake wakiwa kwenye ovulation!Kama jinsi ulivyo kama hauko kwenye ovulation ambapo unahitaji maandalizi Fulani ili uwe kwenye hisia hata MTU mzima aliyefika menopause akiandaliwa huweza kupata hisia nzuri kabisa za mapenzi, halafu ni wajuzi usipime! (Ili maadam Asiwe kikongwe!)
 
Mkuu ww ni me au ke
 
naitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo .
mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote
mawasiliano nyotanjema2017@gmail.com kwa sasa nipo mkoani nitahamia dsm mwakani ni vizuri akawepo dsm
Sawa mimi nina 30siwezi pata nafasi manake embu unifikirie napenda kuoa mwanamke alienizid umri
 
Huo umri wengi wanatumia simu za tochi ndio maana unachelewa kupata,labda upunguze kidogo Bi mkubwa!
 
Back
Top Bottom